Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Lovren is eager to impress at any cost, kiasi kwamba anaigia position ya Sakho na ya Gerro, which makes the defence line loose and without discipline, Sakha ana shida ya kutaka perfection while EPL you just have to butua if need be... but to me Sakho has been more useful because he has won more balls by intercepting aerial balls na diagonal balls, hata kona Sakho is disciplined na atatulia na mtu wake... Lovren ana njaa ya sifa but they will all come good

Lovren sio mzuri hewani, as well as Skertel but sakho is, we need aerial and low balss presence

Personally i think Skertel and Sakho are more likely to give us clean sheet that LOvren, although Lovren will be our best defender akishajua kwamba his job is to play for a team and not his glory

Nafikiri ugonjwa wa Lovren (Trying too much) ndiyo umemkumba na Coutinho. Mwingine ambaye nina wasiwasi anaweza akaingia kwenye mkumbo huo ni Marko. Kuboronga kwa Lallana might be kutokuwa 100% fit lakini pia asipokuwa mwangalifu na mtulivu then, zimwi la price tag linaweza likamnyima usingizi.

Kufuatia usajili wa kuongeza squard depth, majeruhi yaliyotokana na Inter friends (Ukiondoa Skrtel, Johnson na Flano). BR amejikuta hana ujanja bali kucheza na kikosi chenye wengi wapya. Njia pekee ya kuwasaida wachezaji wapya kufanya vizuri ni kuwapa muda wa kuzoeana na kujiamini
 
Nlikuwa natafuta uzi huu kwa muda mrefu sasa nimeupata...mimi ni shabiki mzalendo wa Liverpool...kwa kweli naipenda team hii mpka basi japo naumia na mwanzo wa kusua sua hasa kipgo cha aston villa ambao naona leo wanachezea kichapo na arsenal! Naomba mnipokee tushirikiane kuipa support team yetu..#YNWA ....IN THE STORM...WIND...ANYWHERE...
 
My suggestions kwa gemu ya leo

---------------MIGNOLET------------
MANQUILLO---LOVREN----SAKHO---MORE
--------------GERRARD-----------------
----HENDERSON--------LALLANA--------
-------------STERLING---------------
------BALOTELLI----------BORINI-----

OR

----------------MIGNOLET--------------
MANQUILLO---LOVREN----SAKHO---MORENO
------------GERRARD-----------------
-----HENDERSON------COUTINHO--------
----------STERLING----MARKOVIC-----
------------BALOTELLI--------------

OR

----------------------MIGNOLET--------------------
----------LOVREN---SKRTEL-------SAKHO----------
MANQUILLO ---- HENDERSON ----GERRARD-----MORENO
--------------STERLING------------MARKOVIC---------
-----------------------BALOTELLI-------------------
 
Karibu mkuu, vuta kiti ukae, wanandugu wote waLiverpool ni wastaarabu na wanakupoKeA kwa mikono miwili. Mchango wako ni wa muhimu sana kwa maendeleo ya timu yetu.

your welcome...WE ARE LIVERPOOL...THE MIGHT REDS!!
 
My suggestions kwa gemu ya leo

---------------MIGNOLET------------
MANQUILLO---LOVREN----SAKHO---MORE
--------------GERRARD-----------------
----HENDERSON--------LALLANA--------
-------------STERLING---------------
------BALOTELLI----------BORINI-----

OR

----------------MIGNOLET--------------
MANQUILLO---LOVREN----SAKHO---MORENO
------------GERRARD-----------------
-----HENDERSON------COUTINHO--------
----------STERLING----MARKOVIC-----
------------BALOTELLI--------------

OR

----------------------MIGNOLET--------------------
----------LOVREN---SKRTEL-------SAKHO----------
MANQUILLO ---- HENDERSON ----GERRARD-----MORENO
--------------STERLING------------MARKOVIC---------
-----------------------BALOTELLI-------------------

Sakho na marko wapo sub so ulikuwemo mulemule
 
Starting eleven and sub
 
Attachments

  • Ln.jpg
    Ln.jpg
    154.9 KB · Views: 66
  • Ln1.gif
    Ln1.gif
    24 KB · Views: 133
Nlikuwa natafuta uzi huu kwa muda mrefu sasa nimeupata...mimi ni shabiki mzalendo wa Liverpool...kwa kweli naipenda team hii mpka basi japo naumia na mwanzo wa kusua sua hasa kipgo cha aston villa ambao naona leo wanachezea kichapo na arsenal! Naomba mnipokee tushirikiane kuipa support team yetu..#YNWA ....IN THE STORM...WIND...ANYWHERE...

Karibu mkuu Ynwa
 
Contihno......hayupo hata benchi.....ila kikosi ni kizuri kinachoanza......
 
Asante sana...game ya leo tunapaswa kushinda goli si chini ya tatu maana mfupa ulotushinda tena nyumbani naona umetafunwa na arsenal kwa hiyo tunapaswa kufuta aibu hii....go go go YNWA

mkuu hawa mbona wetu lazima tuwatafune.
 
Back
Top Bottom