Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sakho nakujifanya mzee wa accuracy.......katoa pasi ya kichwa.....watu wakaweka kambani. Da beki hizi kazi tunayo msimu huu.YNWA
 
Teh teh teh teh teh teh Naona dalili zile za Totenham kwa msimu uliopita wa kutumi pesa mingi halafu timu inaendelea kubamizwa.
 
Teh teh teh teh teh teh Naona dalili zile za Totenham kwa msimu uliopita wa kutumi pesa mingi halafu timu inaendelea kubamizwa.

Hakika Pierre!
Najilaumu kutazama mechi hii. Morogoro tumepigwa London tumevuliwa nguo. Hakika ni sheeeeda!!
 
Hapana sasa tuongee hii ni too much!!Sasa tutamfunga nani jamani?
 
welcome to EPL

Umenikumbusha huyu 'BR' baada ya kupigwa kwenye pre season na timu flani hivii ya pale Manchester aliyatumia hayo maneno kumkaribisha mwenzake....
Sasa kinachonishangaza ni kwamba, ina maana hata na yeye pia ni mgeni??

Cc Nzi & Bulldog
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Nzi
Umenikumbusha huyu 'BR' baada ya kupigwa kwenye pre season na timu flani hivii ya pale Manchester aliyatumia hayo maneno kumkaribisha mwenzake....
Sasa kinachonishangaza ni kwamba, ina maana hata na yeye pia ni mgeni??

Cc Nzi & Bulldog

washabiki wa liverpool nilikuwa nao hapa wana hasira kama wamemwagiwa maji ya betri. Hawaelewi nini kinaendela kwenye timu yao. nikawaambia angalia mechi anazocheza liverpool msimu huu ni WIN LOSS WIN LOSS WIN LOSS. Hii pattern yao sijaipenda kabisa.
 
Hii timu defensive midfielder mwenye pumzi ndo ataikoa. Hata central defence inakatika sana maana haina shield. Gerrard mwili unaonekana kabisa mzito! Movement zinamshinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…