truegooner
JF-Expert Member
- Apr 23, 2014
- 779
- 338
Poleni sana KOPS.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, haya matokeo kayataka BR mwenyewe ameanza na viungo wawili wakabaji ambao hawa speed (gerrard na lucas) timu ilikuwa haiendi mbele,nilisema hapa kuwa gerrard ameisha watu wakaleta stats ila kama umeangalia last 3 games utaona tatizo kwenye defensive midfielder, na attacking midfielder countinho has to step up his game, anakuwa deployed kama CAM ila anashindwa kutoa pasi nyepesi kwa maforward (refer uefa)Hii timu defensive midfielder mwenye pumzi ndo ataikoa. Hata central defence inakatika sana maana haina shield. Gerrard mwili unaonekana kabisa mzito! Movement zinamshinda.
Tia neno kwanza( hivi ulisema msimuu tutakuwa wangapi vile??)Napita mtaa huu
Damu ya mwili na roho bado hainipi kutokutizama ila kila nikitizama ndio sasa nitajipa ban ya kweli bora hata kutizama QPR ikicheza Mie Yule Mignolet kipa gani akiona watu pembeni anakaa pembeni ya goli sio katikati jengine kila siku nasema Middle mbovu hazitii mguu na waoga na wao ndio wanasababisha sie kufungwa Mfano japo Westham kutufunga walishatufunga ilivyokuwa 1-0 hii dalili tosh a timu mbovu 1-0 kujijuwa timu yangu haishindi tena ila goli la 3 Yule Sakho Kama Middle zingekuwa sehemu zao basi wasingefunga SG akae tu bench watu watamsema Ballo ila nawahakikishia Ballotelli hatofunga game nyingi Kama Middle na winger hawatomfikishia mpira sababu Ballotelli sio Raheem yeye sio dribbler striker Yule ni number 9 usipomtengenezea utaona Kama hayupo uwanjani.... Rogers plz mchukue Mignolet wako muondoke naye Benitez arudi zake Anfiled kuanzia Leo ni kweli naweka ahadi sitizami Liverpoolfc mpaka Rogers aondoke Pazi Leo Behind the Sofa:angry: Borini,Lambert,Lucas,Mignolet,Sakho, Rogers mnafanya nilie kwenye roho Rogers Kama unasoma jamiiforum Naomba ondoka tu.
BR ana wkt mgumu sana wadau,the best option kwake ni kumdrop SG,but without Allen,and Can there,it's a disaster,who will play DM? LUCAS mwenyewe ndo kama mnavyomuona...nnachoweza kushauri hapa ndugu zangu,bora tujicondition tu kupata matokeo ya aina hii mara nyingi iwezekanavyo msimu huu,mpk BR atakapopata 1st eleven yake,tutakuwa tushachapwa sana MosDef wewe ni mtetezi mkuu wa SG humu,tafadhali njoo useme kitu leo kuhsu huyu kepteni wetu...bado anaweza kuhimili mikiki mikiki ya EPL kwa role ile kweli?? DM??
Daaah hata kama BR anataka kufanya watu tusiwe tunaangalia mechi kwa style hii ya leo kweli kwenye derby na Everton tutaweza?
BR ana wkt mgumu sana wadau,the best option kwake ni kumdrop SG,but without Allen,and Can there,it's a disaster,who will play DM? LUCAS mwenyewe ndo kama mnavyomuona...nnachoweza kushauri hapa ndugu zangu,bora tujicondition tu kupata matokeo ya aina hii mara nyingi iwezekanavyo msimu huu,mpk BR atakapopata 1st eleven yake,tutakuwa tushachapwa sana MosDef wewe ni mtetezi mkuu wa SG humu,tafadhali njoo useme kitu leo kuhsu huyu kepteni wetu...bado anaweza kuhimili mikiki mikiki ya EPL kwa role ile kweli?? DM??
Mkuu si kweli kuhusu SG!
Chunguza bila SG mle ndani matatizo yangekuwa makubwa zaidi na kwangu man of the match leo kwa Liverpool hii ya hovyo hovyo ni SG!
Kila mchezaji ka drop form drastically!Kipa wetu ndiyo utumbo namba moja kwa sasa,beki za kati ndiyo bad partnership ever ktk EPL hii!
do not take SG as a scapegoat!BR anapanga wachezaji 8 wageni kwenye game moja badala ya kuwa induce taratibu taratibu hadi wazoeane!
Agger unamuondoa kwa sababu gani?Kuna beki pale mwenye akili kama Agger?
Kwa kiwango hiki Tofees watatuua kaka!Team mechi ya 5 hii na moja ya Champion League hamna hata mechi moja waliyo onyesha kiwango chao!
Kuna pundits alimuonya BR kuanzisha wachezaji wengi wageni na kuwaachia waaondoke wengi walio zoeana na sasa naanza kuona ni kweli!
Nakubaliana na wewe, kama kusipotokea mabadiliko kwenye DM yaani tumechungulia tu UCL msimu huu, msimu ujao hatupo. Na hata haitashangaza Basel FC akitunywesha game ya UCL inayokuja.MosDef with all due respect to SG,HAWEZI kuendelea kucheza DM na tukapata matokeo,kama anahitajika sana kwenye starting XI apewe majukumu mengine(labda free role,kama A.Pirlo),SG hawezi kukaba kama A.song au Fernando Reges! Anachoweza SG ni kupiga pasi ndefu(kama Emre Can),ile DM atatuchoma sana mwaka huu...ila nadhani bado tuna safari ndefu sana aisee,yaani tunapiga hatua 10 mbele,afu tunarudi hatua 8 nyuma..,kwa EPL ninayoijua mimi,HATUWEZI kumaliza ndani ya top4 msimu huu.....labda utokee muujiza tu...
Nakubaliana na wewe, kama kusipotokea mabadiliko kwenye DM yaani tumechungulia tu UCL msimu huu, msimu ujao hatupo. Na hata haitashangaza Basel FC akitunywesha game ya UCL inayokuja.