Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahahahaha! Mkuu Mbu mbona mie nimejaa tele hii ligi ngumu ila bado mapema ngoja zifike gemu 10 ndo tutajtathimini vizuri.

.....hahhhaha, naona umejitokeza leo baada ya Man U kula kichapo cha mbwa mwizi, daaaaddeki!,.... Hahhahha

Naam, league bado mbichi, mapema mno kukata tamaa...mwambie Pazi avumilie, atazoea tu
 
Last edited by a moderator:
YWNWA-you will never walk alone.

AWNY-always wait next year
 

Attachments

  • 1411371426119.jpg
    1411371426119.jpg
    53.2 KB · Views: 61
Bwe..ge mwenyewe ungekuwa unajua ustaarabu usingeanza kunitusi,jiheshimu si kila mtu wa kumtusi acha taarabu

sasa mkorofi kati yangu na wewe ni nani? Hv kwa mfan ukienda nyumbani kwa mtu kumdisturb,akakupiga panga la kiuno nani atakuwa mkorofi hapo? Unapokuja kwenye jukwaa la watu waungwana,unatakiwa kuandika mambo ya kistaarabu na sio hizo pumba,after all wewe sio shabiki wa Everton au Utd(ambao ndo wapinzani na watani zetu kwenye soka,sisi na nyie hatuna utani wala upinzani wowote,ndo mana hata wachezaji tunauziana) usiwe mtu wa kukurupuka,karibu.
 
Ila na nyie watani ni waajabu sana mmeuza Suarez kwa bei kubwa mkanunua wachezaji wengi wa miambili miambili mkidhani yatajirudia yale ya mwaka jana? poleni Pisheni top four waingie wengine
 
Nimei-copy kama ilivyo

Agger started 18 games in his final season at the club,
with new signing Mamadou Sakho often the preferred
choice as Martin Skrtel’s centre-back partner.
Speaking in an interview on Danish TV, Agger claims
that his relationship with Brendan Rodgers broke down
last season: “The manager and I probably weren’t on the
same page last season, for the majority of the season.
“I felt very distanced to him, and to me that was just
enough. I feel he didn’t appreciate my qualities and my
contributions.”

Agger claims there “weren’t many conversations”
between him and the manager.
The Dane claims that he was unhappy even at training,
knowing that he would be dropped even if he thought he
had performed well:
“When you been a part of the starting eleven for several
games in a row and the team have performed well, and
you feel that you have played well yourself, then when
you’re left out of the team and don’t feel appreciated, it
starts to get into your mind, you wonder.
“When you at the same time see the statistics from your
game, which are so important all around the world of
football, then you don’t understand why you weren’t
used more often.”
However, Agger had words of praise for Rodgers too:
“I think he is a great manager, you can’t take
that away
from him. He’s good in the way he trains the team and
he is great at setting up the team. The things that went
wrong between us is that I say things the way they are
and I expect others to treat me the same way. Maybe it
is wrong to always expect this.”
 
waungwana tusilaumu sana wala kukata tamaa minaamin hatuwez rud enzi za miaka ilopita kamwe,mbona tunakua kama hatujui mpira na lig ilivo kwan nan alijua msimu ulopita tungefika apotulipofika.kufungwa mechi mbil mfululizo ndo ajabu?? au mlitaka tufungwe baada ya kushinda gemu kumi??..mbona hakuna tofaut coz vyotevyote vile nikupoteza point..TAMBUEN ENZI ZA LIVERPOOL ZIMERUD TENA JAPO HAIMAANISHI HATUTAFUNGWA IWE MECHI MBILI MFULULIZO AU TANO..DIS SEASON LIGI AU UEFA MOJAWAPO LINATUHUSU....YNWA
 
ila na nyie watani ni waajabu sana mmeuza suarez kwa bei kubwa mkanunua wachezaji wengi wa miambili miambili mkidhani yatajirudia yale ya mwaka jana? Poleni pisheni top four waingie
wengine

muungwa tambua mpira ni biashara so kumuuza suarez ilikua imefikia hatua ambayo haiepukiki...issue sio kurudia mafanikio ila nikuwa na kikosi ambacho kitahimiri mech nyingi,,,uefa,ligi,capital one,carling cup....tungemchukua falcao,dimaria au cavan we unadhan wangecheza kila mechi?? Wangetakiwa kupumzika lazima, so its better kuwa na kikosi kikubwa ili kukusaidia mech nying.
 
Back
Top Bottom