Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kushinda,kufungwa na kudraw ndio mpira......lakini.....tuongee ukweli BR needs to do something very quickly to the team..... maana sasa hivi tuna struggle mechi zote si za home wala away.....sijui tukikutana na madrid itakuaje?........team leo imefanya makosa mengi sana.YNWA
 
BR hana tactics za kubadili matokeo na kupanga wachezaji kutokana na mpinzani wake.
Na wakuu muda wa Gerad umekwisha.
 
poor! Looserfools ............ poleni kw kipigo.

Grand PA
 
Kushinda,kufungwa na kudraw ndio mpira......lakini.....tuongee ukweli BR needs to do something very quickly to the team..... maana sasa hivi tuna struggle mechi zote si za home wala away.....sijui tukikutana na madrid itakuaje?........team leo imefanya makosa mengi sana.YNWA

Mkikutana na madrid itakuwa gombania goli kama leo diportivo walivyofanywa.
 
Liverpool mnawapa 7up matumaini ya kurudi UCL,jirekibisheni bana ili mwakani tuendelee kuwacheka midtable Man United
 
bora mkuu Pazi ulivyoamua kujipiga ban ya kuangalia huu uvundo
Damu ya mwili na roho bado hainipi kutokutizama ila kila nikitizama ndio sasa nitajipa ban ya kweli bora hata kutizama QPR ikicheza Mie Yule Mignolet kipa gani akiona watu pembeni anakaa pembeni ya goli sio katikati jengine kila siku nasema Middle mbovu hazitii mguu na waoga na wao ndio wanasababisha sie kufungwa Mfano japo Westham kutufunga walishatufunga ilivyokuwa 1-0 hii dalili tosh a timu mbovu 1-0 kujijuwa timu yangu haishindi tena ila goli la 3 Yule Sakho Kama Middle zingekuwa sehemu zao basi wasingefunga SG akae tu bench watu watamsema Ballo ila nawahakikishia Ballotelli hatofunga game nyingi Kama Middle na winger hawatomfikishia mpira sababu Ballotelli sio Raheem yeye sio dribbler striker Yule ni number 9 usipomtengenezea utaona Kama hayupo uwanjani.... Rogers plz mchukue Mignolet wako muondoke naye Benitez arudi zake Anfiled kuanzia Leo ni kweli naweka ahadi sitizami Liverpoolfc mpaka Rogers aondoke Pazi Leo Behind the Sofa:angry: Borini,Lambert,Lucas,Mignolet,Sakho, Rogers mnafanya nilie kwenye roho Rogers Kama unasoma jamiiforum Naomba ondoka tu.
 
Hakika Pierre!
Najilaumu kutazama mechi hii. Morogoro tumepigwa London tumevuliwa nguo. Hakika ni sheeeeda!!

Pole Sana mkuu huo ndio mpira bhana na hayo ndio Maisha tuliyoyachagua so hatuna budi kuvumilia.
 
Damu ya mwili na roho bado hainipi kutokutizama ila kila nikitizama ndio sasa nitajipa ban ya kweli bora hata kutizama QPR ikicheza Mie Yule Mignolet kipa gani akiona watu pembeni anakaa pembeni ya goli sio katikati jengine kila siku nasema Middle mbovu hazitii mguu na waoga na wao ndio wanasababisha sie kufungwa Mfano japo Westham kutufunga walishatufunga ilivyokuwa 1-0 hii dalili tosh a timu mbovu 1-0 kujijuwa timu yangu haishindi tena ila goli la 3 Yule Sakho Kama Middle zingekuwa sehemu zao basi wasingefunga SG akae tu bench watu watamsema Ballo ila nawahakikishia Ballotelli hatofunga game nyingi Kama Middle na winger hawatomfikishia mpira sababu Ballotelli sio Raheem yeye sio dribbler striker Yule ni number 9 usipomtengenezea utaona Kama hayupo uwanjani.... Rogers plz mchukue Mignolet wako muondoke naye Benitez arudi zake Anfiled kuanzia Leo ni kweli naweka ahadi sitizami Liverpoolfc mpaka Rogers aondoke Pazi Leo Behind the Sofa:angry: Borini,Lambert,Lucas,Mignolet,Sakho, Rogers mnafanya nilie kwenye roho Rogers Kama unasoma jamiiforum Naomba ondoka tu.

Mkuu ukweli tuseme BR hana cha kuiongezea timu tena aondoke tu timu apewe SG na Carra
 
Daaah hata kama BR anataka kufanya watu tusiwe tunaangalia mechi kwa style hii ya leo kweli kwenye derby na Everton tutaweza?
 
Damu ya mwili na roho bado hainipi kutokutizama ila kila nikitizama ndio sasa nitajipa ban ya kweli bora hata kutizama QPR ikicheza Mie Yule Mignolet kipa gani akiona watu pembeni anakaa pembeni ya goli sio katikati jengine kila siku nasema Middle mbovu hazitii mguu na waoga na wao ndio wanasababisha sie kufungwa Mfano japo Westham kutufunga walishatufunga ilivyokuwa 1-0 hii dalili tosh a timu mbovu 1-0 kujijuwa timu yangu haishindi tena ila goli la 3 Yule Sakho Kama Middle zingekuwa sehemu zao basi wasingefunga SG akae tu bench watu watamsema Ballo ila nawahakikishia Ballotelli hatofunga game nyingi Kama Middle na winger hawatomfikishia mpira sababu Ballotelli sio Raheem yeye sio dribbler striker Yule ni number 9 usipomtengenezea utaona Kama hayupo uwanjani.... Rogers plz mchukue Mignolet wako muondoke naye Benitez arudi zake Anfiled kuanzia Leo ni kweli naweka ahadi sitizami Liverpoolfc mpaka Rogers aondoke Pazi Leo Behind the Sofa:angry: Borini,Lambert,Lucas,Mignolet,Sakho, Rogers mnafanya nilie kwenye roho Rogers Kama unasoma jamiiforum Naomba ondoka tu.

duuh pole sana Mkuu japo naona una Machungu kweli.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mimi leo siweki comment,nitakuwa napitia tu maoni yenu wadau au vipi....ila niseme tu,kinachoikost timu yetu ni kitu kimoja tu,we have a large group of amateur players plus amateur technical bench...starting with our Manager...mpaka mpanga vifaa uwanjani,wote amateurs!
 
Poleni wakuu West Ham watoto wa mjini hao, na ni wakorofi sana ... ... .. .. ...Song kawapelekesha leo ... .... ... better luck next time .. nachikia Manure wananusanusa tu .. .. . Come on the cops kazeni buti.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom