Kushinda,kufungwa na kudraw ndio mpira......lakini.....tuongee ukweli BR needs to do something very quickly to the team..... maana sasa hivi tuna struggle mechi zote si za home wala away.....sijui tukikutana na madrid itakuaje?........team leo imefanya makosa mengi sana.YNWA
Damu ya mwili na roho bado hainipi kutokutizama ila kila nikitizama ndio sasa nitajipa ban ya kweli bora hata kutizama QPR ikicheza Mie Yule Mignolet kipa gani akiona watu pembeni anakaa pembeni ya goli sio katikati jengine kila siku nasema Middle mbovu hazitii mguu na waoga na wao ndio wanasababisha sie kufungwa Mfano japo Westham kutufunga walishatufunga ilivyokuwa 1-0 hii dalili tosh a timu mbovu 1-0 kujijuwa timu yangu haishindi tena ila goli la 3 Yule Sakho Kama Middle zingekuwa sehemu zao basi wasingefunga SG akae tu bench watu watamsema Ballo ila nawahakikishia Ballotelli hatofunga game nyingi Kama Middle na winger hawatomfikishia mpira sababu Ballotelli sio Raheem yeye sio dribbler striker Yule ni number 9 usipomtengenezea utaona Kama hayupo uwanjani.... Rogers plz mchukue Mignolet wako muondoke naye Benitez arudi zake Anfiled kuanzia Leo ni kweli naweka ahadi sitizami Liverpoolfc mpaka Rogers aondoke Pazi Leo Behind the Sofa:angry: Borini,Lambert,Lucas,Mignolet,Sakho, Rogers mnafanya nilie kwenye roho Rogers Kama unasoma jamiiforum Naomba ondoka tu.bora mkuu Pazi ulivyoamua kujipiga ban ya kuangalia huu uvundo
Hakika Pierre!
Najilaumu kutazama mechi hii. Morogoro tumepigwa London tumevuliwa nguo. Hakika ni sheeeeda!!
Damu ya mwili na roho bado hainipi kutokutizama ila kila nikitizama ndio sasa nitajipa ban ya kweli bora hata kutizama QPR ikicheza Mie Yule Mignolet kipa gani akiona watu pembeni anakaa pembeni ya goli sio katikati jengine kila siku nasema Middle mbovu hazitii mguu na waoga na wao ndio wanasababisha sie kufungwa Mfano japo Westham kutufunga walishatufunga ilivyokuwa 1-0 hii dalili tosh a timu mbovu 1-0 kujijuwa timu yangu haishindi tena ila goli la 3 Yule Sakho Kama Middle zingekuwa sehemu zao basi wasingefunga SG akae tu bench watu watamsema Ballo ila nawahakikishia Ballotelli hatofunga game nyingi Kama Middle na winger hawatomfikishia mpira sababu Ballotelli sio Raheem yeye sio dribbler striker Yule ni number 9 usipomtengenezea utaona Kama hayupo uwanjani.... Rogers plz mchukue Mignolet wako muondoke naye Benitez arudi zake Anfiled kuanzia Leo ni kweli naweka ahadi sitizami Liverpoolfc mpaka Rogers aondoke Pazi Leo Behind the Sofa:angry: Borini,Lambert,Lucas,Mignolet,Sakho, Rogers mnafanya nilie kwenye roho Rogers Kama unasoma jamiiforum Naomba ondoka tu.