Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Performance yetu mwaka Jana na sasa na watani zetu
 
Attachments

  • 1411391560320.jpg
    77.4 KB · Views: 63
Mmetumia bei gani 150£m point tano

Unashangaa hiyo tu January tunatarajia kutumia 175ml kumndondosha Ronaldo,Hummels na Vidal.Nyie eti mnauza mashine Suarez mnasajili Balloteli mtu ambaye kila dakika anawaza kubaguliwabaguliwa tu.Mwakani na nyie Uefa mtaingalizia kwa jirani
 
Pole mwaka huu utakuwa unatuchungulia tu.karibu kesho najua unatuombea vibaya
 
Unashangaa hiyo tu January tunatarajia kutumia 175ml kumndondosha Ronaldo,Hummels na Vidal.Nyie eti mnauza mashine Suarez mnasajili Balloteli mtu ambaye kila dakika anawaza kubaguliwabaguliwa tu.Mwakani na nyie Uefa mtaingalizia kwa jirani

Ronaldo wa Faru Dume Fc ya Magomeni??
 
Ed, tulishayaongelea haya zaman sana humu ndani, lakin watetezi wa BR waling'aka sana Aisee!
 
Huku simba huku liver lol maaumivu yangu yatanikondesha mwaka huu

wewe kama mimi ndugu yangu.....juzi nikasema ngoja nikaondoe stress za Liver Taifa.....nasikia Okwi amerudi...

Ebo....!! bora ningekaa zangu home tu...
 
Hopeful kesho itafanyika rotation ya nguvu,Jones,Manquilo,Skirtel,Toure,Enrique,Lucas,Suso,Lallana,Markovic,,Lambert,Borini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…