Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Malafyale ndugu yangu,kuna watu waungwana unaotakiwa kuwaomba radhi mnapotofautiana,SIO huyo jamaa,hana nidhamu kbs...next time usijishushe hovyohovyo tena.


HAPANA mkuu The Magnificent huo sio ushauri mzuri hata kidogo!

Sisi ni familia moja ktk mpira! Ktk Hili Tujaribu kusimamia haki na Amani! Kufungwa Kwa Liverpool juzi kusiwafanye mkashindwa kuwa wavumilivu!

Alichofanya Malafyale ni ustaraabu na uungwana mkubwa!

Tuwe kitu kimoja Wakuu!
 
Last edited by a moderator:
kama atacheza nadhani atatokea benchi! Hendo naamini atacheza,phil sidhani kama atakuwa tayari kwa j.mosi,but lalana is there

BR ameconfirm kua Rickie Lambert ataanza mechi ya leo......so sizani kama Dan atacheza.......

With Rickie Lambert having already been slated by Rodgers to start against Middlesbrough, there will be an opportunity for other fringe players to stake their claim on Tuesday.

2nd choice wengi wataanza leo!!

Cc: Malafyale
 
Amani na itawale mkuu!

Derby yenu Kwa mpira mlivyocheza na Westham Utd sizani km Ushindi utakua rahisi!

Hata hao evarton walichezea kichapo kutoka kwa crystal tena walikuwa hom na walicheza mpira wa kawaida sana.
 
Achana nao hao wameshazoea kuwa mid table kwa miaka 20. Hawana tofauti na Aston Villa
 
Mkuu una updates zozote kuhusu Dan kama atacheza Jumamosi na status ya Hendo na Coutihno? Magnficent Torres

Sturridge atakuwepo kwenye game ya Everton, maamuzi anayo Kocha though, kumuanzisha au atokee bench!!!

hendo na Phill ni knocks za kawaida, been ruled out for today's game kama precautions, ila nadhan hendo atakuwepo Saturday!!!

shida ipo kwa Allen nadhan!
 
Last edited by a moderator:
Costa Amecheza game moja KUBWA ya juzi j2 na pia marking ya beki za city Kwa Costa ilikua ya Hali ya juu sn! Si hivyo tu, City walipaswa kucheza Zaidi ya kiwango chao cha kawaida dhidi yetu hasa ukizingatia km wangepoteza hiyo game tungewaacha points 8 na ingekua ngumu Kwao kutetea ubingwa!

Na pia msimu uliopita tuliwafunga hapo Kwao, kitu ambacho City hawakutaka tena kitokee na Ndio maana city walikua Na high spirit! Lkn Chelsea imecheza vzr sn hasa Kwa hayo matokeo uliyopata! Km ingekua ni Nyie au Man Rojo wangepingwa nyingi!

Kwahiyo Costa Bado ni striker mzuri sn Tusubiri kuona mengi toka kwake!

Aliyeminywa ni Fabregas siyo Costa!
 
Liverpool bhana dah!
EPL mnasuasua bado mnaipigia hesabu UCL?
Mnadhani yatajirudia yale ya enzi Benitez.YOU ARE GOING TO WALK ALONE AND LONELY
 
Liverpool bhana dah!
EPL mnasuasua bado mnaipigia hesabu UCL?
Mnadhani yatajirudia yale ya enzi Benitez.YOU ARE GOING TO WALK ALONE AND LONELY

teh teh teh,we mkunja bangi,sema mwenyewe juzi wale watoto waliopanda daraja wamewanywesha ngapi
 
Wakuu marafiki zangu poleni sn!

Lkn taratibu mtaanza kumkubali The Magnificent Kwa kumlaumu BR Kua anamapungufu sn! Na Kwa mambo km haya Yani ubingwa msahau kabisa na mtarudi ktk namba yenu ya ligi namba 7 ata top four itakua ngumu sn kwenu km msipobadirika!

Poleni sn wadau na Karibuni ETIHAD Leo muone timu ambayo iko makini ktk kuusaka ubingwa!

Cc: Pazi Malafyale MosDef Gwamahala osokonoi Okhondima nguvu Mr. Wise The Magnificent na wana liver woote

Ntunzu, asante kwa pole!ni kweli hatujakaa sawa ilo halina ubishi mtani. ILA nakukumbusha safari ndio kwanza imeanza ki bongo bongo wote hata Chalinze hatujafika.
 
Habari njema,Liverpool wamepata kibali cha kuongeza capacity ya idadi mashabiki kutoka 45,500 na kutumia watu 59,000
 
Back
Top Bottom