Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Malafyale ndugu yangu,kuna watu waungwana unaotakiwa kuwaomba radhi mnapotofautiana,SIO huyo jamaa,hana nidhamu kbs...next time usijishushe hovyohovyo tena.
HAPANA mkuu The Magnificent huo sio ushauri mzuri hata kidogo!
Sisi ni familia moja ktk mpira! Ktk Hili Tujaribu kusimamia haki na Amani! Kufungwa Kwa Liverpool juzi kusiwafanye mkashindwa kuwa wavumilivu!
Alichofanya Malafyale ni ustaraabu na uungwana mkubwa!
Tuwe kitu kimoja Wakuu!
Last edited by a moderator: