Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hopeful kesho itafanyika rotation ya nguvu,Jones,Manquilo,Skirtel,Toure,Enrique,Lucas,Suso,Lallana,Markovic,,Lambert,Borini.

Manquillo should be benched..

kacheza mfululizo sana!..we have Everton next week!!!

itakuwa poa kama McLaughlin akicheza instead of Manquillo kwenye RB!!!
 
HAHAHAHAHA!

So ROSSITER anaweza akaanza tommorow!!!!!!

GET IN!!!
 
and......MARTIN ATIKNSON ndo refa wa Game yetu saturday against them blue noses!!!

Game is ours to loose!!!
 
Bwe..ge mwenyewe ungekuwa unajua ustaarabu usingeanza kunitusi,jiheshimu si kila mtu wa kumtusi acha taarabu

Kwa nn ww jamaa always huwa unakuja kwenye page yetu na kutudhihaki?Pls ukiendelea tutachukua hatua staiki!

Jiheshimu as all we are grown ass here!Tunakukaribisha kwenye page yetu kwa mijadala endelevu kana akina Ntuzu na agosti 8 wanavyofanya na sisi tunavyo enda kwao kuchangia!

Pls leave us alone
 
Last edited by a moderator:



Mkuu Malafyale nimefatilia maongezi hapo nyuma Huyu Chelsea mwenzetu Viol hajaanza yeye kutoa lugha mbaya kwenu! Yeye alichofanya ni kuwatania tu ktk lugha ya kawaida na kubadili kauli mbiu yenu ya YNWA Lkn The Magnificent na Amanijua wao Ndio wameanza kumjibu Kwa lugha ambazo sio nzuri!

Matani ktk mpira ni kitu cha kawaida ila lugha mbaya sio kitu kizuri ata Mimi napinga kabisa Hilo Lkn kila mmoja awe mvumilivu Kwa mwenzie! Bila Matani Hizi threads za michezo haziwezi kuchangamka!

Bado kidogo nije niweke kambi humu maana huu msimu naanzia kwako! Na pia BR hawezi kumfunga boss wake wa zamani ata iweje! Hahahaaaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Haya bhana samahani mkuu
 
Last edited by a moderator:

Mkuu aliigeuza YNWA yetu akaingiza mambo yake ndipo vurugu zilipo anza na historically huyu jamaa mara kibao katuletea lugha za ajabu kwenye page yetu!

Kwa sasa liverpool ni underdogs kwa Chelsea hilo hatuwezi kataa!Hatupo sawa lkn hopeful tutaanza kuwa OK baada ya game ya 8 hadi 10

Lkn derby yetu hii Jimamosi nashinda!Derby haina ufundi
 
Last edited by a moderator:
Haya bhana samahani mkuu
Viol mkuu tusamehe bana hata kama ulitudhihaki tulistahili ku hold back our hasira lkn kusema ukweli perfomances ya team yetu imetuchanganya wote humu!

Usitutupe bado tunakukaribisha kwenye page yetu uendelee kutupa changamoto!Tunaanza ligi Jumamosi na points 7 za Chelsea tunazikamata hivi karibuni sababu imethibitika Costa ni striker wa kuzifunga avarage teams tu
cc Ntuzu agosti 8
 
Last edited by a moderator:

Mkuu tuko pamoja,timu yenu tatizo inakosa spirit,halafu yule jamaa pale mbele ni mchoyo wa pasi,ila timu ikishakuwa na spirit yote yanawezekana,si uliona mechi ya man u juzi,wale watoto walifungwa kipindi cha kwanza hawakufa moyo.
Liverpool timu kubwa hao watani zenu jumamosi si kitu ila huwa wanacheza sana rafu
 
Last edited by a moderator:

What we need is Sturridge back!Dan will make a different
 
and......MARTIN ATIKNSON ndo refa wa Game yetu saturday against them blue noses!!!

Game is ours to loose!!!

Mkuu una updates zozote kuhusu Dan kama atacheza Jumamosi na status ya Hendo na Coutihno? Magnficent Torres
 
Last edited by a moderator:


Amani na itawale mkuu!

Derby yenu Kwa mpira mlivyocheza na Westham Utd sizani km Ushindi utakua rahisi!
 



Costa Amecheza game moja KUBWA ya juzi j2 na pia marking ya beki za city Kwa Costa ilikua ya Hali ya juu sn! Si hivyo tu, City walipaswa kucheza Zaidi ya kiwango chao cha kawaida dhidi yetu hasa ukizingatia km wangepoteza hiyo game tungewaacha points 8 na ingekua ngumu Kwao kutetea ubingwa!

Na pia msimu uliopita tuliwafunga hapo Kwao, kitu ambacho City hawakutaka tena kitokee na Ndio maana city walikua Na high spirit! Lkn Chelsea imecheza vzr sn hasa Kwa hayo matokeo uliyopata! Km ingekua ni Nyie au Man Rojo wangepingwa nyingi!

Kwahiyo Costa Bado ni striker mzuri sn Tusubiri kuona mengi toka kwake!
 
Last edited by a moderator:

anatutania yeye kama nani? Angalia hata record zake za nyuma hapa kwenye uzi wetu ndo utaelewa vizuri,akataniane na wenzenu wa spurs au ar5ena1,
 
Last edited by a moderator:

Malafyale ndugu yangu,kuna watu waungwana unaotakiwa kuwaomba radhi mnapotofautiana,SIO huyo jamaa,hana nidhamu kbs...next time usijishushe hovyohovyo tena.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu una updates zozote kuhusu Dan kama atacheza Jumamosi na status ya Hendo na Coutihno? Magnficent Torres

kama atacheza nadhani atatokea benchi! Hendo naamini atacheza,phil sidhani kama atakuwa tayari kwa j.mosi,but lalana is there
 
Last edited by a moderator:
anatutania yeye kama nani? Angalia hata record zake za nyuma hapa kwenye uzi wetu ndo utaelewa vizuri,akataniane na wenzenu wa spurs au ar5ena1,



Mkuu The Magnificent nakumbuka hapo nyuma iliwahi tokea mkapishana na Mimi na agosti 8 tukaja tukaweka mambo sawa na kuomba radhi kwenu Kwa yaliyotokea! Lkn ktk hoja zake za Jana ametumia lugha za kawaida tu mkuu wala hajawatolea lugha chafu Bali nyie Ndio mlioanza kumtolea lugha mbaya!

Anyway...! Tufanye yamekwisha hayo mkuu na mumsamehe Kwa yeye kuja humu na kuwaudhi!

Mpira ni Amani, mpira ni upendo, mpira ni urafiki!

One love mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…