Malafyale ndugu yangu,kuna watu waungwana unaotakiwa kuwaomba radhi mnapotofautiana,SIO huyo jamaa,hana nidhamu kbs...next time usijishushe hovyohovyo tena.
kama atacheza nadhani atatokea benchi! Hendo naamini atacheza,phil sidhani kama atakuwa tayari kwa j.mosi,but lalana is there
Amani na itawale mkuu!
Derby yenu Kwa mpira mlivyocheza na Westham Utd sizani km Ushindi utakua rahisi!
Hata hao evarton walichezea kichapo kutoka kwa crystal tena walikuwa hom na walicheza mpira wa kawaida sana.
Achana nao hao wameshazoea kuwa mid table kwa miaka 20. Hawana tofauti na Aston Villa
Achana nao hao wameshazoea kuwa mid table kwa miaka 20. Hawana tofauti na Aston Villa
Costa Amecheza game moja KUBWA ya juzi j2 na pia marking ya beki za city Kwa Costa ilikua ya Hali ya juu sn! Si hivyo tu, City walipaswa kucheza Zaidi ya kiwango chao cha kawaida dhidi yetu hasa ukizingatia km wangepoteza hiyo game tungewaacha points 8 na ingekua ngumu Kwao kutetea ubingwa!
Na pia msimu uliopita tuliwafunga hapo Kwao, kitu ambacho City hawakutaka tena kitokee na Ndio maana city walikua Na high spirit! Lkn Chelsea imecheza vzr sn hasa Kwa hayo matokeo uliyopata! Km ingekua ni Nyie au Man Rojo wangepingwa nyingi!
Kwahiyo Costa Bado ni striker mzuri sn Tusubiri kuona mengi toka kwake!
Aliyeminywa ni Fabregas siyo Costa!
Achana nao hao wameshazoea kuwa mid table kwa miaka 20. Hawana tofauti na Aston Villa
Liverpool bhana dah!
EPL mnasuasua bado mnaipigia hesabu UCL?
Mnadhani yatajirudia yale ya enzi Benitez.YOU ARE GOING TO WALK ALONE AND LONELY
Km napata mantiki yako Kwa mbali vile Lkn Hebu elezea kidogo ni vp Faby aliminywa?
Wakuu marafiki zangu poleni sn!
Lkn taratibu mtaanza kumkubali The Magnificent Kwa kumlaumu BR Kua anamapungufu sn! Na Kwa mambo km haya Yani ubingwa msahau kabisa na mtarudi ktk namba yenu ya ligi namba 7 ata top four itakua ngumu sn kwenu km msipobadirika!
Poleni sn wadau na Karibuni ETIHAD Leo muone timu ambayo iko makini ktk kuusaka ubingwa!
Cc: Pazi Malafyale MosDef Gwamahala osokonoi Okhondima nguvu Mr. Wise The Magnificent na wana liver woote
teh teh teh,we mkunja bangi,sema mwenyewe juzi wale watoto waliopanda daraja wamewanywesha ngapi
Achana nao hao wameshazoea kuwa mid table kwa miaka 20. Hawana tofauti na Aston Villa