Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Janjaweed...leo naomba nimtetee Kolo,he was great! Ile penat chanzo ni Raheem kutoa pasi ya kiboya! Hata mimi ningekuwa Kolo ningefanya vilevile...Sakho was superb..ila alisababisha ile faulo iliyozaa goli la kwanza,pamoja na kuwa hakuwa na match fitness,Enrique played very well...Dogo Suso anajua sana,baada ya Markovic kutoka akaingia Suso,game ilibadilika sana
 
Last edited by a moderator:

Game ya jana kwa kiasi kikubwa back line ilicheza vizuri, kwa upande wangu Enrique akiwa form nam prefer zaidi kuliko Moreno.
Ifikie kipindi sasa Raheem asiwe anacheza dk 90 au awe anapumzishwa, naona wanamchosha sana kumchezesha mfululizo ukilinganisha na umri wake hadi anaanza kupoteza baadhi ya game.
 
Last edited by a moderator:
Na cheza yetu hii ya kuchezea mipira upande wetu na kupenda pasi za nyuma, kama itaendelea hivi hata aje mshambuliaji gani atakuwa flop tu, manake mipira haifiki kabisa mbele.
 
Sakho na sterling hawakufanya vizuri jana.sakho kasababisha free kick ambayo haikua na ulazima na vilevile alishindwa kuclear mpira kwa kichwa luckly enough mignolet akacheza ikadondoka kwenye hatari asante kolo....aka clear vizuri.
Sterling kasababisha goli la kuzawazisha na back pasi yake.na hakua kwenye form yake.lambert rickie hakua na makali ya kutosha.Suso was okey.....
 
Penalt shoot out zimeonyesha kwamba M'boro walijiandaa vizuri kwenye ishu ya matuta. Sikumbuki kama kuna penalt yao hata moja ambayo haikuwa nzuri including the one of Adomah, which went out.

Ila my favourite ni ile iliyopigwa na Mignolet...:hail:
 
Hongereni wakuu naona mmeandika historia mpya, komaeni na hilo kombe la mbuzi. Safi sana ... ... . . ..
 
Picha hii
 
Attachments

  • 1411557214727.jpg
    1411557214727.jpg
    43.4 KB · Views: 55
Yah ni kweli mkuu ndo kwanza tuko Mbezi mwisho ata Mizani hatujafika Kibaha hatujafika!

Umepotea sn mkuu!

Nipo Mkuu nilikua tight kidogo, Ila Dah naona mna MOTO msimu huu, kweli aisee mliziba mapungufu yenu ya last season!!Ombeni usije zima, maana D.Costa hakawii kua nje wiki mbili tatu sababu ya Uzeeee ha ha ha ha ha ha ha
 
........and our great Manager wants to offload our young SUSO to AC MILAN!!

its gonna be A great BANTER ever Aiseee!!!!!
Mkuu hii habari inanikera sana aisee, why did we buy Him???Hivi kwanza iyo ishu imekamilika kweli, maana nilisikia amefanya makubaliano nyuma ya pazia
 
Nipo Mkuu nilikua tight kidogo, Ila Dah naona mna MOTO msimu huu, kweli aisee mliziba mapungufu yenu ya last season!!Ombeni usije zima, maana D.Costa hakawii kua nje wiki mbili tatu sababu ya Uzeeee ha ha ha ha ha ha ha

Yule jamaa wanasema ana miaka 25,lakini mbona uso unaonyesha ni mtu mzima sana? Au ni macho yangu tu?
 
Mkuu hii habari inanikera sana aisee, why did we buy Him???Hivi kwanza iyo ishu imekamilika kweli, maana nilisikia amefanya makubaliano nyuma ya pazia

Dogo kabakiza vimiezi kadhaa tu kwenye contrakt yake,BR asipompa mkataba dogo by January anakuwa free agent..anaondoka bure
 
Nipo Mkuu nilikua tight kidogo, Ila Dah naona mna MOTO msimu huu, kweli aisee mliziba mapungufu yenu ya last season!!Ombeni usije zima, maana D.Costa hakawii kua nje wiki mbili tatu sababu ya Uzeeee ha ha ha ha ha ha ha

Kuna dogo Remy nae amethibitisha ubora wake! Kacheza dakika 18 katupia goli moja!
 
Dogo kabakiza vimiezi kadhaa tu kwenye contrakt yake,BR asipompa mkataba dogo by January anakuwa free agent..anaondoka bure
Suso, ni moja ya mazao mazuri kutoka kwenye academy kama mnakumbuka huyu dogo alianza kuingia kwenye timu ya wa kubwa muda sawa na sterling ila tangu amekuja BR basi ndo ya dogo pale anfield ni kama ime-vanish vile, mi naona BR anaplan liverpool kuea timu ya england hata teixteira ataondoka bure kama Suso anavyoondoka tuna wachezaji kwenye academy wana uwezo mkubwa ila hawapati nafasi kwa mfano tuna tatina na defensive midfielder ila BR ka muacha Conor Coady aende kwa mkopo kwenye centre back tuna Coates na Ilori(alinunuliwa na BR ila hakupewa mechi hata moja mpaka katolewa kwa mkopo spain he is far better than skrtel kwa wale waliongalia la liga msimu uliyopita wasema) :flame::flame:BR anapenda kusajiri haamini alicho nacho, ona anacho fanya Luiz Enrique na Barca ana nurture talents za La masia kuja kuchukua nafasi za wazee
 
Dogo kabakiza vimiezi kadhaa tu kwenye contrakt yake,BR asipompa mkataba dogo by January anakuwa free agent..anaondoka bure

Unajua uyu mtoto ni fundi sana, ni vile hapewi muda sana so hatumfaidi vizuri, kule spain alikitibua vzuri sana.
 
Remy ataweza kubeba jahazi?yea ni mzuri ila naona si kama mtu wa kumtegemea saaana!

Mkuu Remy yuko vzr! Nafikiri unamuelewa tangu yuko Maseli, alafu ataanza kupewa nafasi kuanzia Leo na game zijazo!
 
kwa hapa tanzania,shabiki mkubwa wa huyu dogo ni ndugu yetu MosDef...nadhani wkt dogo kafunga pale alitabasamu kwa mbaaali

hahahahahah!!!

Huyo dogo ni bonge ya middle, miaka 17 tu brother!

Ila ni kama wewe kwa JOAO CARLOS TIEXEIRA, yule dogo akija kuuzwa moja kwa moja unaweza ukafa kwa maumivu ya Moyo!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom