The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,249
Janjaweed...leo naomba nimtetee Kolo,he was great! Ile penat chanzo ni Raheem kutoa pasi ya kiboya! Hata mimi ningekuwa Kolo ningefanya vilevile...Sakho was superb..ila alisababisha ile faulo iliyozaa goli la kwanza,pamoja na kuwa hakuwa na match fitness,Enrique played very well...Dogo Suso anajua sana,baada ya Markovic kutoka akaingia Suso,game ilibadilika sana
tatizo la mapunga kama nyie mnaboa sana... mnaprobe halafu mnataka watu wawaombe nyoro
just fook off
Pole sana punga, kama ukitaniwa unaumia kaa kimya sio kutukana kise.nge.
Yah ni kweli mkuu ndo kwanza tuko Mbezi mwisho ata Mizani hatujafika Kibaha hatujafika!
Umepotea sn mkuu!
Mkuu hii habari inanikera sana aisee, why did we buy Him???Hivi kwanza iyo ishu imekamilika kweli, maana nilisikia amefanya makubaliano nyuma ya pazia........and our great Manager wants to offload our young SUSO to AC MILAN!!
its gonna be A great BANTER ever Aiseee!!!!!
Nipo Mkuu nilikua tight kidogo, Ila Dah naona mna MOTO msimu huu, kweli aisee mliziba mapungufu yenu ya last season!!Ombeni usije zima, maana D.Costa hakawii kua nje wiki mbili tatu sababu ya Uzeeee ha ha ha ha ha ha ha
Mkuu hii habari inanikera sana aisee, why did we buy Him???Hivi kwanza iyo ishu imekamilika kweli, maana nilisikia amefanya makubaliano nyuma ya pazia
Nipo Mkuu nilikua tight kidogo, Ila Dah naona mna MOTO msimu huu, kweli aisee mliziba mapungufu yenu ya last season!!Ombeni usije zima, maana D.Costa hakawii kua nje wiki mbili tatu sababu ya Uzeeee ha ha ha ha ha ha ha
Suso, ni moja ya mazao mazuri kutoka kwenye academy kama mnakumbuka huyu dogo alianza kuingia kwenye timu ya wa kubwa muda sawa na sterling ila tangu amekuja BR basi ndo ya dogo pale anfield ni kama ime-vanish vile, mi naona BR anaplan liverpool kuea timu ya england hata teixteira ataondoka bure kama Suso anavyoondoka tuna wachezaji kwenye academy wana uwezo mkubwa ila hawapati nafasi kwa mfano tuna tatina na defensive midfielder ila BR ka muacha Conor Coady aende kwa mkopo kwenye centre back tuna Coates na Ilori(alinunuliwa na BR ila hakupewa mechi hata moja mpaka katolewa kwa mkopo spain he is far better than skrtel kwa wale waliongalia la liga msimu uliyopita wasema) :flame::flame:BR anapenda kusajiri haamini alicho nacho, ona anacho fanya Luiz Enrique na Barca ana nurture talents za La masia kuja kuchukua nafasi za wazeeDogo kabakiza vimiezi kadhaa tu kwenye contrakt yake,BR asipompa mkataba dogo by January anakuwa free agent..anaondoka bure
Dogo kabakiza vimiezi kadhaa tu kwenye contrakt yake,BR asipompa mkataba dogo by January anakuwa free agent..anaondoka bure
Kuna dogo Remy nae amethibitisha ubora wake! Kacheza dakika 18 katupia goli moja!
Remy ataweza kubeba jahazi?yea ni mzuri ila naona si kama mtu wa kumtegemea saaana!
kwa hapa tanzania,shabiki mkubwa wa huyu dogo ni ndugu yetu MosDef...nadhani wkt dogo kafunga pale alitabasamu kwa mbaaali