Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Well said brother!!
 
My man of the Match alikuwa Suso,akifuatiwa na Lallana...huyu Suso ni bonge la mchezaji...BR na roho yake mbaya itabidi ampe mkataba dogo! He is extraordinary! Aione MosDef na pro Suso wote humu!

JESÚS "suso" anajua sana MPIRA!!!

ila sijui afanye nini ili AmuImpress Manager wetu!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hii habari inanikera sana aisee, why did we buy Him???Hivi kwanza iyo ishu imekamilika kweli, maana nilisikia amefanya makubaliano nyuma ya pazia

Aliletwa na BENITEZ kipind kile, kaja mdogo sana, BR kamkuta kipind kile 2012 ndo alikuwa na miaka 17 lakin naona BR sjui anataka kuestablish wachezaj wake!!!..tusubiri tuone kwa Kina Yesil, Illori, paez, canos, Alberto, Etc, ambao kawaleta yeye Aisee!

Wanasema kuna pre-contract tayari kati ya Ac milan na Suso, coz dogo kabakiza miez michache sana! so baada ya hapo atakuwa huru!

kulikuwa kuna maongez ya mkataba mpya, nahis dogo kademand kikubwa zaid, ndo maana wanataka kumsusa!
 
Daniel Sturridge derby blow for Liverpool FC?

Daniel Sturridge is running out of time to prove his fitness ahead of Saturday’s Merseyside derby at Anfield.

The 25-year-old has yet to return to full training at Melwood and appears increasingly unlikely to feature in the 223rd derby.

Even if Sturridge makes considerable progress over the next few hours the best he can hope for is a place on the bench.

Liverpool remain hopeful that Jordan Henderson (hip) and Philippe Coutinho (groin)will be fit for duty against Roberto Martinez’s side.
 
Media za leo zimeandika "UEFA have confirmed that they have opened an investigation into Liverpool over the possible breach of Financial Fair Play rules. Recent reports claimed that £7m worth of Champions League prize money will be withheld from Liverpool while the probe is ongoing"
 
Kwa wale walikua wana wasiwasi kua SUSO......anaweza ondoka Anfield na kujiunga na AC Milan ama any club.....waondoe shaka SUSO is set to sign a new mkataba wa kubaki Liverpool.....

Namnukuu BR.....

Rodgers said Suso is set to sign a new contract at LFC and Sterling could also sign one fairly soon although it's not top priority.

YNWA
 
Brendan Rodgers have admitted liverpool is extremely broken but he promises a fantastic start this weekend's fixture.

SS3
 

Nna hofu anaeza goma maana hakumuamini mpka anfanya mazungumzo na milan yamaanisha hakumhitaji
 
Wakuu gemu ya leo BR anapaswa kufanya yafuatayo;

1.Jose Enrique anapaswa kucheza maana Moreno needs much time to improve.

2.Nafasi ya beki wa kulia aanze Kolo Toure.

3.Skirtel acheze na Sakho pale kati kati and not Lovren.

3.Na kikosi cha kuanza kiwe hivi Mignolet,Toure,Sakho,Skirtel,Enrique,Gerard,Henderson,Lalana,Baloteli,Sterling,Borini.

Sub; Jones,Manquillo,Moreno,Lovren,Coutinho,Sturidge,Rossiter,Mockovic.
 

Duuu!!!!!!
 

Mi nilikua. Ataka iwe hivi......
Jones,Toure,Skirtel,Lovren,Erique,G8,Henderson,Moreno,Baloteli,Sterling,Suso.

Sub.....waliobaki.
 


unatani wewe......Toure RB??


I LL GO FOR.....


................................Mignolet................................



Manquillo.............Skirtel................Sakho......................Moreno



........................Hendo............................Lucas Leiva....................




............Sterling.......................Lallana.............................Suso.......



.............................................Mario...........................................




SUB.Jones,Gerald,Lovren,Enrique,Phill,Sturridge,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…