MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Suso, ni moja ya mazao mazuri kutoka kwenye academy kama mnakumbuka huyu dogo alianza kuingia kwenye timu ya wa kubwa muda sawa na sterling ila tangu amekuja BR basi ndo ya dogo pale anfield ni kama ime-vanish vile, mi naona BR anaplan liverpool kuea timu ya england hata teixteira ataondoka bure kama Suso anavyoondoka tuna wachezaji kwenye academy wana uwezo mkubwa ila hawapati nafasi kwa mfano tuna tatina na defensive midfielder ila BR ka muacha Conor Coady aende kwa mkopo kwenye centre back tuna Coates na Ilori(alinunuliwa na BR ila hakupewa mechi hata moja mpaka katolewa kwa mkopo spain he is far better than skrtel kwa wale waliongalia la liga msimu uliyopita wasema) :flame::flame:BR anapenda kusajiri haamini alicho nacho, ona anacho fanya Luiz Enrique na Barca ana nurture talents za La masia kuja kuchukua nafasi za wazee
Well said brother!!