Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ukweli ni kwamba backline yetu cyo nzuri wakuu maana haiwezekani mechi ya kushinda mapema sisi tunapata sare tena dakika za mwisho kila cku???????
POINTI 7 out of 18 possible points?????
 
Kama tutaendelea kuwategemea Manquillo na Moreno basi tutatajie matokeo mabaya zaidi ya haya huko mbele ya safari.
 
Ukweli ni kwamba backline yetu cyo nzuri wakuu maana haiwezekani mechi ya kushinda mapema sisi tunapata sare tena dakika za mwisho kila cku???????
POINTI 7 out of 18 possible points?????

we jamaa vipi,beki wamefanya kosa gani leo? Lile goli everton walilofunga beki angefanyaje sasa
 
Kama tutaendelea kuwategemea Manquillo na Moreno basi tutatajie matokeo mabaya zaidi ya haya huko mbele ya safari.

Madogo wamecheza vizuri tu,mpira una matokeo ya aina 3 kaka..mimi leo kama ni kulaumu,labda kule mbele make tumepata chance kibao tukashindwa kuzitumia...beki wamecheza fresh tu leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…