suarez will be missed
Poleni sn wadau! Kupata sare Sio matokeo mazuri kweni! Msimu Huu timu yenu isipo badilika ata top four mtaikosa!
Baba Kelvin Upo? Habari za masiku? Msalimie sn Gwamahala na Malafyale
Cc: osokonoi nguvu The Magnificent MosDef Okhondima
hali si nzuri kwakweli, balo bado sana
Brendan Rodgers anapaswa kulaumiwa ktk yote yanayoendelea ktk timu yenu!
sana tu, na hadi mtu wa kufanana nae atokee tutakuwa tumeshashuka daraja
Shukurani mkuu ntuzu
Everton ni timu nzuri ila kwa namna ambavyo Liverpool wamecheza leo then, nina thubutu kusema "They deserved to win"
Brendan Rodgers anapaswa kulaumiwa ktk yote yanayoendelea ktk timu yenu!
We got this hommie!Team imeanza kucheza vyema worry not about us
Ona leo Villa anaweza leta madhara
We got this hommie!Team imeanza kucheza vyema worry not about us
Ona leo Villa anaweza leta madhara
Hayo ndiyo matokeo niliyoyategemea.
Namhurumia sana Lukaku. Angekaa chini ya striker mzoefu kwa msimu mmoja tu au two angekuwa striker wa kutisha sana sema alikimbilia umaarufu. Sasa hivi anarukaruka uwanjani tu na kutegemea magoli ya kubahatisha.
Mkuu ntuzu, hebu nifafanulie ni kwa vipi BR anastahili kulaumiwa kwa kinachoendelea?
hawa aston vila na westham leo najua lazima wapigwe..hawana ubora wowote sisi tuliwachekea wakatupga
hawakukuchekea hata kidogo!
itabid tu ukubaliane na Ukweli kuwa LFC ni mbovu sana, Kocha anategemea Mfumo mmoja tu kucheza mpira vizuri..
Kuna mambo mengi naweza kusema Lkn km umekua ukifatilia uchambuzi wa The Magnificent juu ya kocha wenu kuna vitu vingi utaona!
Ngoja game yetu na villa kwanza jioni usiku ntapita hapa tuongee kidogo juu ya hili!