Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

wanatukera ila ndio hivyo hatuna jinsi ,ngoja tuone mechi ijayo
 
Last edited by a moderator:
Msikate tamaa wadau! Vumilieni! Sisi Tupo hapa kuwafariji!

Cc: agosti 8 Viol Mentor

Hayo ndiyo matokeo niliyoyategemea.

Namhurumia sana Lukaku. Angekaa chini ya striker mzoefu kwa msimu mmoja tu au two angekuwa striker wa kutisha sana sema alikimbilia umaarufu. Sasa hivi anarukaruka uwanjani tu na kutegemea magoli ya kubahatisha.
 
Last edited by a moderator:
sana tu, na hadi mtu wa kufanana nae atokee tutakuwa tumeshashuka daraja

Mkuu nguvu, Ukiangalia timu zote, kwenye league zote, then utagundua hakuna wa kufanana na Lui. I know your disappointed kama wana Liverpool wengine ila daraja hatushuki.
 
Shukurani mkuu ntuzu

Everton ni timu nzuri ila kwa namna ambavyo Liverpool wamecheza leo then, nina thubutu kusema "They deserved to win"

Pamoja mkuu!

Ngoja tuone mpk December km bado timu na kocha hawatobadilika basi mtamaliza ktk nafasi Sio nzuri na kwa matokeo Haya rafiki zangu ingawa ligi Ndio kwanza imeanza naanza kusema ktk mbio za kuwania ubingwa nyie hampo! Tafuteni kucheza CL tu!
 
We got this hommie!Team imeanza kucheza vyema worry not about us

Ona leo Villa anaweza leta madhara

Mkuu Malafyale Yani game yetu na Villa hainipi plesha kwasababu nakwenda kushinda tu!

Njoo tugonge Cheers kwa Ushindi mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Hayo ndiyo matokeo niliyoyategemea.

Namhurumia sana Lukaku. Angekaa chini ya striker mzoefu kwa msimu mmoja tu au two angekuwa striker wa kutisha sana sema alikimbilia umaarufu. Sasa hivi anarukaruka uwanjani tu na kutegemea magoli ya kubahatisha.

Ni kweli mkuu Mentor
 
Last edited by a moderator:
hawa aston vila na westham leo najua lazima wapigwe..hawana ubora wowote sisi tuliwachekea wakatupga
 
Mkuu ntuzu, hebu nifafanulie ni kwa vipi BR anastahili kulaumiwa kwa kinachoendelea?

Kuna mambo mengi naweza kusema Lkn km umekua ukifatilia uchambuzi wa The Magnificent juu ya kocha wenu kuna vitu vingi utaona!

Ngoja game yetu na villa kwanza jioni usiku ntapita hapa tuongee kidogo juu ya hili!
 
Last edited by a moderator:
hawa aston vila na westham leo najua lazima wapigwe..hawana ubora wowote sisi tuliwachekea wakatupga

hawakukuchekea hata kidogo!

itabid tu ukubaliane na Ukweli kuwa LFC ni mbovu sana, Kocha anategemea Mfumo mmoja tu kucheza mpira vizuri..
 
Kuna mambo mengi naweza kusema Lkn km umekua ukifatilia uchambuzi wa The Magnificent juu ya kocha wenu kuna vitu vingi utaona!

Ngoja game yetu na villa kwanza jioni usiku ntapita hapa tuongee kidogo juu ya hili!

Ni vigumu kufuatilia kila kinachoandikwa na ufafanzi nimeuomba as a reply kwa tuhuma zako.

So your welcome to clarify
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom