LFC first team that trained today kwa ajili ya game ya J5..
Mignolet, Manquillo, Skrtel, lovren, Enrique, SG, Hendo, Markovic, PC, sterling, MB...
No lallana and Moreno
If thats true then, hiyo ni direct 4-2-3-1, formation that has never worked for us recently!
Basel nao siyo wazuri kihivyo kwa sasa, Tukishinda hii game tutakuwa katika nafasi nzuri zaidi!
nadhani 4-2-3-1 inawasumbua kwa sababu mnakosa watu 2 imara wa kusimama mbele ya mabeki; LUCAS anaweza lakini akipangwa na SG kwenye majukumu hayo inakuwa shida; kwa sababu GERRARD ni kama Lampard; au Schurrle; SG anang'aa sana anapokuwa na free-role; kuliko anapopangwa kukaba au kukimbizana na vijana hapo kwenye dimba..
hao 2 wa kati ndo shida kubwa kwa sasa;..ama vipi mkuu Mosdef?
huyu mzee sjui kwann huwa anamng'ang'ania Danny, wale kina welbeck si wapo????
Simpendi yule Hodgson Aisee!!
i can understand why BR kamuacha DS,ni kwamba next week kuna international break tena,angejichanganya kumchezesha tu,Roy lazima angemchukua kama kawaida.
Huyu si ni kocha wenu wa zamani; alaf moyoni huyu kocha ni LFC damu bhana!!