Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

mosedef hamna mchezaji wa Liverpool au Toffees atakubali kukaa nje kwenye mechi hii!

SG aliwahi ulizwa endapo ungeambiwa uchague mechi 2 tu kwa msimu mzima ucheze dakika 90 na zingine games 36 usikae hata bench jibu lake bila hata kuwaza akasema ni Liverpool vs Everton

Sakho hawezi tena kucheza kwa BR=fact
 
Last edited by a moderator:
Carragher on skysports: "Up untill now Mignolet hasn't made those big saves, If it continues i can see Liverpool looking for another goalkeeper"


Baadae kidogo, Guardian na kina Muddock asked Mignolet kama ana pressure yoyote kuhusu future yake na criticism anazozipata kutoka kwa pundits na fans, akajibu:

"What is pressure? Pressure is what is happening in Iraq at the moment when there is a War. That is pressure"
 
LFC first team that trained today kwa ajili ya game ya J5..

Mignolet, Manquillo, Skrtel, lovren, Enrique, SG, Hendo, Markovic, PC, sterling, MB...

No lallana and Moreno

If thats true then, hiyo ni direct 4-2-3-1, formation that has never worked for us recently!

Basel nao siyo wazuri kihivyo kwa sasa, Tukishinda hii game tutakuwa katika nafasi nzuri zaidi!
 
nadhani 4-2-3-1 inawasumbua kwa sababu mnakosa watu 2 imara wa kusimama mbele ya mabeki; LUCAS anaweza lakini akipangwa na SG kwenye majukumu hayo inakuwa shida; kwa sababu GERRARD ni kama Lampard; au Schurrle; SG anang'aa sana anapokuwa na free-role; kuliko anapopangwa kukaba au kukimbizana na vijana hapo kwenye dimba..

hao 2 wa kati ndo shida kubwa kwa sasa;..ama vipi mkuu Mosdef?


LFC first team that trained today kwa ajili ya game ya J5..

Mignolet, Manquillo, Skrtel, lovren, Enrique, SG, Hendo, Markovic, PC, sterling, MB...

No lallana and Moreno

If thats true then, hiyo ni direct 4-2-3-1, formation that has never worked for us recently!

Basel nao siyo wazuri kihivyo kwa sasa, Tukishinda hii game tutakuwa katika nafasi nzuri zaidi!
 
nadhani 4-2-3-1 inawasumbua kwa sababu mnakosa watu 2 imara wa kusimama mbele ya mabeki; LUCAS anaweza lakini akipangwa na SG kwenye majukumu hayo inakuwa shida; kwa sababu GERRARD ni kama Lampard; au Schurrle; SG anang'aa sana anapokuwa na free-role; kuliko anapopangwa kukaba au kukimbizana na vijana hapo kwenye dimba..

hao 2 wa kati ndo shida kubwa kwa sasa;..ama vipi mkuu Mosdef?

Well said brother agosti 8
 
Last edited by a moderator:
Tony Barret anasema, japokuwa SAKHO ni mzima wa Afya, lakini Kaachwa England, hajasafiri na team kwenda uswiss..

But Rossiter and Jordan Williams wameongezwa kwenye team..wamesafiri na team!!
 
Danny kaachwa pia..j2 BR alfanya mazoez na Danny peke yake ili kupima fitness yake..but nadhan hakuridhishwa bado au kuna kitu kingne hatukijui..

But Barret anasema, Danny hana majeruhi mapya, ni bado hajarecover kutokana na hamstring alyoipata wakat yupo na England national team!

Allen,GJ, Can...wote wameanza mazoezi mepesi!!
 
BR vs HODGSON

BR on Pre-Match presser- "Daniel wont be fit (For England), whether he is available for the weekend (Against WBA) or not, he wont be fit (for England)"

ECHO- "HODGSON could risk further wrath from Anfield by demanding sturridge to be assessed by England's staff before making a Decision"
 
Hahahah!!!

So SAKHO is Injured?????!!!!!!

#Scenes


SAKHO ana matatizo ya kocha..hawaelewani; si SAKHO peke yake; hata Fabio Borini pia hawapikiki chungu kimoja na BR kwa sasa..

kuweni makini na nidhamu ya wachezaji..hasa hawa wenye asili ya ligi ya ufaransa..:A S-eek:
 
Uwezi amin fans ,Goli la Evaton la kusawazisha kijana nilipigwa ganzi so eeemungu tuepushie na janga
 
Pia kwa upuuzi aloufanya Sakho,hata mimi ndo ningekuwa BR ningemsugulisha mpk anyooke,after all yeye si anapenda kuangalia mpira kupitia TV kama alivyosema? Na game ya leo nadhani ataiangalia hukohuko
 
Mtoa records za Liverpool nimependa sana thread yako ila hata hivyo nikusahihishe tu kidogo kwamba LIVERPOOL hajatwaa EUROPEAN SUPER CUP mara 1 bali mara 3 ambazo ni mwaka 1977, mwaka 2001 (dhidi ya Bayern Munich) na mwaka 2005 (dhidi ya CSKA Moscow). Record nyingine zote uko sahihi kabisa.
 
i can understand why BR kamuacha DS,ni kwamba next week kuna international break tena,angejichanganya kumchezesha tu,Roy lazima angemchukua kama kawaida.

Huyo babu wa England anawaza Liverpool kuita wachezaji na atamwita tena Ds na fikiri hipo siku babu atamwita Balo wetu timu ya taifa
 
Huyu si ni kocha wenu wa zamani; alaf moyoni huyu kocha ni LFC damu bhana!!

Basi katka makocha ambao, siwapend katika kipind nlichoanza kujitambua na kuishabikia LFC ni Huyo Hodgson (2. Evans 3. Daglish)
 
Basel U19s 3 Liverpool FC U19s 2

By3qMpYIAAAooOy.jpg JS47720844.jpg JS47720850.jpg

Liverpool Under-19s were left stunned by Basel's late flourish as they suffered a 3-2 defeat in their UEFA Youth League clash.

Jerome Sinclair's second-half double appeared to have secured back to back European wins for the young Reds following their 4-0 hammering of Ludogorets on matchday one.

However, from a position of strength at 2-1 up with three minutes remaining they surrendered the initiative as Albian Ajeti headed home an equaliser for the Swiss outfit and then Cedric Itten bagged a last-gasp winner.

A major disappointment for Academy director Alex Inglethorpe will be the fact that two of Basel's goals came from set-pieces – a weakness which has also proved the first-team's undoing at times this season.

I hope madogo hawajatuwekea Gundu...:angry:
 
Back
Top Bottom