Ni either tukubali kuwa Gerrard muda wake umeisha na akae bench au tuendelee kucheza hivi hivi na tutaishia kuwa wa saba msimu huu.
Kinachoni udhi zaidi ni kwamba tuna wachezaji wazuri tu wakucheza nafasi ambayo Gerrard anaicheza na kuishindwa, sio kwamba kikosi chetu kidogo, tumenunua wachezaji wakutumiwa lakini bado hatuwatumii kisa Gerrard's profile kwenye team.
Mashabiki wa timu yenu wanapata shida sana kwenye vibanda umiza.....kuna maneno ya shombo sana...
Nina hasira sana na timu hii.....NAMCHUKIA BR sana sana.....anajifanya yeye ndo yeye!! Goli karibia zote tulizofungwa msimu huu ni kwa njia ileile tu,set pieces.....day in day out....
Mkuu nakuhakikishia tutaanza kushinda na week hii tunashinda!
Usiogope kabisa na nakukumbusha tu kuwa hata mwaka jana hadi mzunguko wa kwanza unaisha Arsenal alituzidi points 11 na kuna kipindi Chelsea walituzidi points 13 lkn wote tukawapita baadae!
BR na SG jana wameongea kwa uchungu sana!Goli za aina moja kila siku na wachezaji wapo laini kwenye kukaba!
Ningependa sana kama Sterling akae bench hata mechi 3 hivi maana qnazingua sana now
Msimu uliopita Liverpool walikuwa wanacheza vizuri sana na kufunga magoli na mlikuwa na tatizo moja tu kwenye defence but msimu huu mna tatizo kwenye strikers,viungo na tatizo la defence hamjalitatua
Ni either tukubali kuwa Gerrard muda wake umeisha na akae bench au tuendelee kucheza hivi hivi na tutaishia kuwa wa saba msimu huu.
Kinachoni udhi zaidi ni kwamba tuna wachezaji wazuri tu wakucheza nafasi ambayo Gerrard anaicheza na kuishindwa, sio kwamba kikosi chetu kidogo, tumenunua wachezaji wakutumiwa lakini bado hatuwatumii kisa Gerrard's profile kwenye team.
Mtamkumbuka Suarez mlimuuza pasipo kutumia akili mkawanunua hao wa miambili miambili ambao mmeshindwa hata kuwatumia vizuri
we jamaa huwaga sikupendi kinoma!
sjui unashabikia team gani?
Unaforce tu kushabikia mpira!

Manchester United,mpira naujua na ninaucheza hadi leo hii poleni mitetea ya London

Aliondoka Owen bado tukarudi ndiyo itakuwa Suarez?
Nakukumbusha tu kuwa Suarez kacheza Liverpool misimu 3 katupeleka CL mara moja;Owen misimu 6 yote katupeleka CL
Liverpool haijaporomoka na naanza kushinda leo na WBA