Kila chenye mwanzo hakikosi mwisho; SG anaweza kuwa kiongozi mzuri; lakini si lazima acheze dakika 90.
poleni sana LFC.
Mario pia ni janga..
poleni sana LFC.
Mario pia ni janga..
Ni either tukubali kuwa Gerrard muda wake umeisha na akae bench au tuendelee kucheza hivi hivi na tutaishia kuwa wa saba msimu huu.
Kinachoni udhi zaidi ni kwamba tuna wachezaji wazuri tu wakucheza nafasi ambayo Gerrard anaicheza na kuishindwa, sio kwamba kikosi chetu kidogo, tumenunua wachezaji wakutumiwa lakini bado hatuwatumii kisa Gerrard's profile kwenye team.