Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kila chenye mwanzo hakikosi mwisho; SG anaweza kuwa kiongozi mzuri; lakini si lazima acheze dakika 90.

poleni sana LFC.

Mario pia ni janga..

Ni either tukubali kuwa Gerrard muda wake umeisha na akae bench au tuendelee kucheza hivi hivi na tutaishia kuwa wa saba msimu huu.

Kinachoni udhi zaidi ni kwamba tuna wachezaji wazuri tu wakucheza nafasi ambayo Gerrard anaicheza na kuishindwa, sio kwamba kikosi chetu kidogo, tumenunua wachezaji wakutumiwa lakini bado hatuwatumii kisa Gerrard's profile kwenye team.
 
LAST SEASON

.....................................MIGNOLET................................

JOHNSON.................SKIRTEL........................AGGER/SAKHO...............FLANAGAN

.....................................................GERALD.................................................

...............HENDO........................COUTINHO..........................STERLING..............

.............................SUAREZ.................................STURIDGE.....................

Ukiangalia hiyo lineup....utaona mabadiliko makubwa sana!! wachezaji wengi hawapo tena kwenye starting eleven,hebu angaliaa hapa chini kikosi cha msimu huu.....

.................................................MIGNOLET................................................

MANQUILLO(mpya).......................SKIRTEL.................LOVREN(mpya).............MORENO(mpya)

...................................GERALD..................................HENDERSON(amekuja deep/position mpya kwake)............

.......STERLING(anacheza utumbo tu)...........COUTINHO(hapa hakuna mtu maalum).............MARKOVIC/LALLANA(wapya)

............................................................BALOTELLI(Mpya/Ameachwa isolated sana)..........................

wadau,mtaona wenyewe jinsi gani mabadiliko ya kikosi yanavyoiathiri timu.....wachezaji hawaelewani kabisa uwanjani na Manager wetu "kipenzi " anatumia unchi kumpanga mchezaji(rejea ubovu aliouonesha jana sterling na badala yake akatoewa Coutinho badala yake....kitu kilichoiua kabisa midfield)
Kuna wachezaji BR amewasajili analazimisha kuwachezesha ili asionekane alibugi(Lambert & co.) badala ya kumchezesha SUSO!!!

Kuna wachezaji kama EMRE CAN,STURRIDGE,FLANAGAN,ALLEN,wangeweza kuwa na msaada kama wangekuwa fit,lakini ndo hivyo tena!!

Naomba nisimuongelee kabisa SG8,I have a huge respect for him!!
Malafyale MosDef Pazi Tores agosti 8 Full Moon Mzee Wa Rubisi

Naomba niseme wazi,kwa mtazamo wangu wa harakaharaka tu.....msimu huu tutakuwa na msimu mbovu sana...sana sana...i cant see us improving anywhere.....tupotupo tu....na sitoshangaa kama tutamiss top 4(which is very likely for us to miss this season ) na hata hii champions league sioni kama tutavuka hii group stage kabisa(angalia game ya jana kwa mfano,ilikuwa game ya kushinda kabisa ile,tukapigwa!! pasi tunapotezapoteza tu,na hatukabi kabisa,sterling kavimbishwa kichwa na media za uingereza sasa hivi anachofanya ni kunyoa kiduku tu,hakuna kitu pale!! after all yule dogo sio mtu wa kutegemewa kucheza dakika 90 alitakiwa awe mtu wa SUB,saivi anajiona staa yeye!! RIDICULOUS!!)

Nina hasira sana na timu hii.....NAMCHUKIA BR sana sana.....anajifanya yeye ndo yeye!! Goli karibia zote tulizofungwa msimu huu ni kwa njia ileile tu,set pieces.....day in day out....
 
Last edited by a moderator:
Duu Kuna wakati unawaza why Liverpool.Game ya Jana Ulikuwa nyepesi sana. Pili Balotel anaonekana kama hayuko free uwanjani,anajalibu kutengeneza pass kwa wale watoto lakini wapi,yeye akiomba wapi vinapiga hovyo.
Maisha ya soccer yanakuwa magumu.
 
Kocha wa England kila siku wachezaji wa Liverpool amewaita Leo watano wote wanacheza muda wa kupumuzika wataupata wapi linatuadhili sana Liverpool
 
Unajua lazima tukubali jambo moja muhimu la kwanza na la msingi kuliko lote, hamna mchezaji ni mkubwa au muhimu kuliko klabu yote. Steven Gerrard ni Legend wa Liverpoool, Liverpool ni kubwa kuliko Gerrard, ilikuwepo kabla hajazaliwa na ataaicha Liverpool bado itakuwepo kwahiyo unavyosema tuongelee kila kitu lakini si Steven Gerrard inabidi nikulize wewe ni mpenzi wa Liverpool club au mpenzi wa Steven Gerrard pekee? Maana kuna watu wanapenda team kisa mchezaji na si team yenyewe...unashangaa enzi zile za marifiki wa Ronaldinho walivyokuwa wanamfuata kila klabu aiendayo.

Baada ya hapo, tukikubaliana kuwa Liverpool team ni kubwa kuliko Gerrard inabidi tuangalie jinsi ya kutoa maoni kwanini tunavurunda...moja ya sababu ni kwamba Gerrard as defensive/central midfield inamshinda. Sipo mimi nayongelea hili jambo peke yangu...watu kibao tu.
 
Nina hasira sana na timu hii.....NAMCHUKIA BR sana sana.....anajifanya yeye ndo yeye!! Goli karibia zote tulizofungwa msimu huu ni kwa njia ileile tu,set pieces.....day in day out....

Mkuu nakuhakikishia tutaanza kushinda na week hii tunashinda!

Usiogope kabisa na nakukumbusha tu kuwa hata mwaka jana hadi mzunguko wa kwanza unaisha Arsenal alituzidi points 11 na kuna kipindi Chelsea walituzidi points 13 lkn wote tukawapita baadae!

BR na SG jana wameongea kwa uchungu sana!Goli za aina moja kila siku na wachezaji wapo laini kwenye kukaba!

Ningependa sana kama Sterling akae bench hata mechi 3 hivi maana qnazingua sana now
 
Msimu uliopita Liverpool walikuwa wanacheza vizuri sana na kufunga magoli na mlikuwa na tatizo moja tu kwenye defence but msimu huu mna tatizo kwenye strikers,viungo na tatizo la defence hamjalitatua
 
Msimu uliopita Liverpool walikuwa wanacheza vizuri sana na kufunga magoli na mlikuwa na tatizo moja tu kwenye defence but msimu huu mna tatizo kwenye strikers,viungo na tatizo la defence hamjalitatua

Tulitulia kwenye mzunguko wa pili!Mzunguko wa kwanza tulifungwa na Sotton;Man City;Chelsea na sare kibao!

Tutaanza kushinda sasa na tutashinda sana sasa
 
Sababu za Liverpool kuporoka
 
Attachments

  • 1412338034667.jpg
    1412338034667.jpg
    61.8 KB · Views: 70
Ni either tukubali kuwa Gerrard muda wake umeisha na akae bench au tuendelee kucheza hivi hivi na tutaishia kuwa wa saba msimu huu.

Kinachoni udhi zaidi ni kwamba tuna wachezaji wazuri tu wakucheza nafasi ambayo Gerrard anaicheza na kuishindwa, sio kwamba kikosi chetu kidogo, tumenunua wachezaji wakutumiwa lakini bado hatuwatumii kisa Gerrard's profile kwenye team.

Mtamkumbuka Suarez mlimuuza pasipo kutumia akili mkawanunua hao wa miambili miambili ambao mmeshindwa hata kuwatumia vizuri
 
Mtamkumbuka Suarez mlimuuza pasipo kutumia akili mkawanunua hao wa miambili miambili ambao mmeshindwa hata kuwatumia vizuri

we jamaa huwaga sikupendi kinoma!

sjui unashabikia team gani?

Unaforce tu kushabikia mpira!
 
Mtamkumbuka Suarez mlimuuza pasipo kutumia akili mkawanunua hao wa miambili miambili ambao mmeshindwa hata kuwatumia vizuri

Aliondoka Owen bado tukarudi ndiyo itakuwa Suarez?
Nakukumbusha tu kuwa Suarez kacheza Liverpool misimu 3 katupeleka CL mara moja;Owen misimu 6 yote katupeleka CL

Liverpool haijaporomoka na naanza kushinda leo na WBA
 
BR slating MB kwenye medias!

BR of 2012/2013 is Back, always talked SHIT kwenye medias!

Slating ur ST wakat mfumo unaotumia hata haujaleta matunda yoyote kwenye team (4-2-3-1)...

Hata mwanae Sturridge hatoweza kung'aa kabisa kwenye huo mfumo!

Na Lambert akianza kesho. we'll be ----ing screwed!

blaming ur ST, wakat defense yako ndo inayokuangusha kila siku! as a coach u need to sort out ur defense first, before slating your ST!

ndo maana Sakho alisusa tu, Maana kuwekwa bench na beki MBOVU kama hii nnayoishuhudia sahv ni dharau sana! hahahahahahaha!

If BR will Continue with his 4-3-2-1 against WBA tommorow, then its gonna be another Major dissapointment!

ITK's are saying MB might be dropped tommorow..kama ni kweli, stocheki hiyo Game, nadiklea interest mapemaaaaa!
 
Aliondoka Owen bado tukarudi ndiyo itakuwa Suarez?
Nakukumbusha tu kuwa Suarez kacheza Liverpool misimu 3 katupeleka CL mara moja;Owen misimu 6 yote katupeleka CL

Liverpool haijaporomoka na naanza kushinda leo na WBA

Owen wasn't at Suarez Level..Diaz ni kitu kingine Malafyale!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom