Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Matusi ya nn sasa badala ya kueleza alicho kosea?

Chelsea mafanikio yameanza kuja baada ya kununuliwa na huyu Jewish=fact!!

Lini Chelsea imekuwa timu ya Abra?

Kweli mkuu matusi Sio kitu kizuri Lkn pia jaribu kuwashauri na wenzako maana mpira ni upendo ni urafiki! Na wala Si chuki mkuu!

Tupendane wakuu!
 
Baada ya ukame wa makombe wa miaka mingapi?

hujabeba kombe lolote since 2012/2013, unatofauti gan na team ambayo haijabeba kombe tangu 2011/2012???

And tangu hyo chelsea ianze kutoa competition EPL na Europe, Je kwenye All time UEFA club rankngs..imewahi kuipita Liverpool??? (hatujashiriki UCL since 2010)..but bado upo chini ya LFC by miles!!!
 
na hakuna mtu anayepoteza muda wake kuiongelea team kama chelsea humu ndani!!..ni mashabiki wa chelsea tu kujipitisha pitisha humu...

piteni pembeni bhana..LFC na Chelsea hazijawah kuwa na ushindani wowote na ujirani wowote ule..Ni kinda two different clubs, kuanzia traditions mpaka rangi ya jezi..
 
Mkuu punguza ukali wa maneno na tusiogope challenges bali tuzikabili!Tunapokuwa na watu kama Viol au Bulldog na chalkenges zao wanatukomaza!

Nina imani kabisa kuwa watu kama Ntuzu au agosti 8 wanatutembelea hapa kwa nia nzuri tu ya kimichezo na hamna haja ya kugombana nao!

Tusipende kusikia na kuchekelea vitu vizuri tu kuhusu team yetu bali hata negativity tuzikubali

Chelsea mmetangulia na baiskeli ya miti
 
Last edited by a moderator:
Kweli mkuu matusi Sio kitu kizuri Lkn pia jaribu kuwashauri na wenzako maana mpira ni upendo ni urafiki! Na wala Si chuki mkuu!

Tupendane wakuu!

Mm nakupiga safari hii Darajani kwako na Anfield!Tatizo la kufunga litaisha akirudi Dan na MB akianza kutupia
 
Amen. God bless LFC

YNWA

Ñashinda huku siku hizi Asprin
Kule MMU kuna baadhi ya madada ni wapuuzi sana ukiongea nae privately masuala ya kawaida kabisa anakuja kuandika kwa rafiki zake kama anatongozwa sana huko chemba!

Sifa za kipuuzi kabisa!Karibu YNWA
 
Last edited by a moderator:
Baada ya ukame wa makombe wa miaka mingapi?

Miaka sita tu kaka Ntuzu,kuhusu mambo ya ukame naomba tusiyaongelea maana najua ntakuumiza,hakuna timu yenye wasemaji wengi na yenye ukame kama chelsea.
 
Last edited by a moderator:
hujabeba kombe lolote since 2012/2013, unatofauti gan na team ambayo haijabeba kombe tangu 2011/2012???

And tangu hyo chelsea ianze kutoa competition EPL na Europe, Je kwenye All time UEFA club rankngs..imewahi kuipita Liverpool??? (hatujashiriki UCL since 2010)..but bado upo chini ya LFC by miles!!![/QUOT
Mashabiki wa chelsea bado hawajajua mapartiners kwenye mpira ni akina nani,mashabiki wa chelsea wanachotakiwa kufanya ni kutafuta uzi wa spurs au everton wakapigizane nao kelele uko,nahisi hapo kidogo watawezana,lfc ni nzito sana kwao.
 
Ñashinda huku siku hizi Asprin
Kule MMU kuna baadhi ya madada ni wapuuzi sana ukiongea nae privately masuala ya kawaida kabisa anakuja kuandika kwa rafiki zake kama anatongozwa sana huko chemba!

Sifa za kipuuzi kabisa!Karibu YNWA

Hahahahah pole mkuu. mabebz wengi jf wana mastress yao bhana. wanatafuta namna ya kuyapunguza.

YNWA Ndo nyumbani kwangu toka enzi za mwalimu...

Pamoja sana
 
Last edited by a moderator:
Unafahamu maana ya existence wewe..? Au unapanua pamua tu domo kama chura..kunya ukalale huijui Chelsea na hujui mpira ..labda timunya kijijini kwenu ndanda fc ndio imeanza 2004.. Tena ukome kusema mambo usiyoyajua

your team was always a mid table team,until 2004 when Abromoney took over,that's where it started existing in the world of football...BISHA kwa hoja,povu la nini we m.mbwa?
 
Kweli mkuu matusi Sio kitu kizuri Lkn pia jaribu kuwashauri na wenzako maana mpira ni upendo ni urafiki! Na wala Si chuki mkuu!

Tupendane wakuu!

Mimi nawamind kwa sababu na nyie mnajiona eti ni timu kubwa,!! Tehtehteh mmeanza kujilinganisha na timu kama Man Utd,LFC,Bayen,R.Madrid,AC Milan...shame on you!
 
na hakuna mtu anayepoteza muda wake kuiongelea team kama chelsea humu ndani!!..ni mashabiki wa chelsea tu kujipitisha pitisha humu...

piteni pembeni bhana..LFC na Chelsea hazijawah kuwa na ushindani wowote na ujirani wowote ule..Ni kinda two different clubs, kuanzia traditions mpaka rangi ya jezi..

Nasema hivi km mtaacha kuisema Chelsea ktk mijadala yenu basi na sisi tutapita kimya tu labda na tutatoa salamu Kwa mabest km Malafyale Gwamahala Baba Kelvin na washikaji wengine kibao!

Alafu Naomba nikushauri mkuu kumshambulia mtu binafsi Sio pouwa hasa Kwa hoja zako ambazo hazina Mashiko! Mtu unaemjibu humfahamu! Tunapokuja ktk Uzi wenu Huu tunajadili mpira na Si mtu!
 
Last edited by a moderator:
Mimi nawamind kwa sababu na nyie mnajiona eti ni timu kubwa,!! Tehtehteh mmeanza kujilinganisha na timu kama Man Utd,LFC,Bayen,R.Madrid,AC Milan...shame on you!

Hawa Chelsea toka waingie kwenye historia ya kubeba kombe la uefa kimazabe mazabe basi na wao wanahisi tuko nao level moja
 
Mimi nawamind kwa sababu na nyie mnajiona eti ni timu kubwa,!! Tehtehteh mmeanza kujilinganisha na timu kama Man Utd,LFC,Bayen,R.Madrid,AC Milan...shame on you!

Mkuu take it as an easy!

Majogoo 5 CL titles vs Chelsea 1 CL!How come these teams to be grouped into the same stage?

Hawa akina Ntuzu tunawachapa kwa hoja tu mkuu hamna haja ya kutumia lugha zisizo faa hapa
 
Last edited by a moderator:
Nasema hivi km mtaacha kuisema Chelsea ktk mijadala yenu basi na sisi tutapita kimya tu labda na tutatoa salamu Kwa mabest km Malafyale Gwamahala Baba Kelvin na washikaji wengine kibao!

Alafu Naomba nikushauri mkuu kumshambulia mtu binafsi Sio pouwa hasa Kwa hoja zako ambazo hazina Mashiko! Mtu unaemjibu humfahamu! Tunapokuja ktk Uzi wenu Huu tunajadili mpira na Si mtu!

Mkuu na wenzako tunawahitaji hapa mtupe challenge!

Lkn kumbuka mwaka huu nakupiga kote kuwili
 
Last edited by a moderator:
hujabeba kombe lolote since 2012/2013, unatofauti gan na team ambayo haijabeba kombe tangu 2011/2012???

And tangu hyo chelsea ianze kutoa competition EPL na Europe, Je kwenye All time UEFA club rankngs..imewahi kuipita Liverpool??? (hatujashiriki UCL since 2010)..but bado upo chini ya LFC by miles!!!

Aiseee Ebu tafuta Habari za ranking za timu za Ulaya uone km hichi ulichoandika kiko sahihi!

Chelsea inakamata nafasi 4 na Liverpool iko nafasi ya 32 tena imepitwa na spurs! Spurs wako nafasi ya 19 sasa sijui unaongea nini?

Mmebakiza historia tu lkn timu yenu haina lolote!
 
Mimi nawamind kwa sababu na nyie mnajiona eti ni timu kubwa,!! Tehtehteh mmeanza kujilinganisha na timu kama Man Utd,LFC,Bayen,R.Madrid,AC Milan...shame on you!

Sisi ni timu kubwa pia ndo maana Tuko nafasi ya 4 ktk uefa ranking za 2014 na nyie mko 32. Sasa hamuoni tofauti Hapo?
 
Hiyo ranking uloipanga wewe au? Umeambiwa 'greatest clubs of all time' wewe umekimbilia hiyo ya 2014,kwanini? Anyway...unaweza kuamua tu kudhani Chelsi ni timu kubwa,siwezi kukuzuia kuamini hivyo!
 
Mi nawashangaa sn mnapojificha ktk historia Mara sijui timu yenu kubwa Mara sijui nini, tuongelee mambo ya muda Huu! Kwasababu ata km mnashikiria historia sasaivi Mnashindwa nini kufanya mambo Pamoja na historia yenu nzuri? Kubalini mabadiliko, msiwe km Chama dume CCM.
 
Back
Top Bottom