Mjomba wiki ijayo tunakutana na Real Madrid
Euro Qualification imeisha na sijasikia majeruhi wengine zaidi ya Lovren kwetu!Mechi na QPR then Hull City Tigers hata Kolo sina wasi wasi nae!!Mechi zinazofuata baada ya hapo tunahitaji wote wawe kamili!
Any updates concerning Sakho fitness pls?
LOVREN...training today!
Good news kwa kweli!Lovren ningekuwa mm BR ningempumzisha na QPR!Pia ningempumzisha SG na Hendo lkn ningempa Dan dakika zote 90!
Hawa tunawahitaji sana Jumatano wawe fit 100%
I think we have had a good time to recover...
My concern sasa ni namna gani BR atapanga defense yake with Glen Johnson back, Joe Allen, much as i am not a big fan of him will be crucial
With Raheem, Adam, Sturridge, Coutinho and Balo coming on in the second half - we will be very strong
My prediction ni kwamba out of the coming seven games, we will win 5 and drop points again Real Madrid away and a draw at home
Lovren will be fit to play
Ila nina shida kidogo na attitude ya players wa LIverpool walio kwenye Englad national team, it seems BR is putting too much pressure for them not to get injured or exhausted and that may work negatively on the players because of negative energy
Chelsea will not beat Liverpool at Anfield this time
It was a mutual benefit engagementSuarez on Facebook!!
It was a mutual benefit engagement
Without him, LIverpool weould have been in number 7 and without Liverpool Luis might have not gotten the current recognition
Wee jamaa,ujue kingereza chako huwa sikielewi kbs,sijui ni mimi tu?? Wadau nyie huwa mnakielewa hiki kizungu cha Janjaweed?
Mbona kinaelewe tu kaka kiingereza cha Janjaweed!
Hapo anasema "Majogoo na Suarez wana urafiki pacha;bila Liverpool kijana Suarez asingekuwa kama alivyo sasa na bila Suarez sisi Majogoo tusingefikia hatua hii"
Mm hywa namuelewa vyema tu!Ndugu yangu magnificent unafuatilia sana verb-noun agreement bana ehehehhe