R madrid wana bahati sn dan majeruhi but NGOJA TUKASHANGAZE ULIMWENGU PALE ANFIELD
Usishangae mkipigwa 7-1 kama As Roma jana dhidi ya BuyernR madrid wana bahati sn dan majeruhi but NGOJA TUKASHANGAZE ULIMWENGU PALE ANFIELD
Yani Leo mnapigwa vibaya sn Ndio mtamchukia BR wenu...! Sitoki humu Leo ktk Uzi wenu..!
Huwa napenda sana courage ambavyo huwa unayo kwa kutopenda kukubaliana na hali halisi hasa jahazi letu likiwa linazama. Kuna kipindi nikisoma post zako huwa zinanipa nguvu kimtindo za timu yetu kuja kufanya vizuri game zijazo ingawa kiukweli kunakuwa hamna dalili zozote hizo.Kesho hatufungwi Anfield kwanza napenda nikutoe wasiwasi
Pili tarajia game nzuri kutoka pande zote mbili
Tatu mabadiliko yafanywe kwenye beki ya kushoto tu aanze Moreno lkn Balo aanze pia
Nne Madrid nao beki yao sio nzuri
Kesho hatufungwi Anfield kwanza napenda nikutoe wasiwasi
Pili tarajia game nzuri kutoka pande zote mbili
Tatu mabadiliko yafanywe kwenye beki ya kushoto tu aanze Moreno lkn Balo aanze pia
Nne Madrid nao beki yao sio nzuri
Under 19 Liverpool vs madrid 2-2
Watoto wametutoa kimasomaso kwa kuwafundisha soccer watoto wa Madrid
Liverpoool mnapigwa leo.
Watoto wametutoa kimasomaso kwa kuwafundisha soccer watoto wa Madrid