Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

R madrid wana bahati sn dan majeruhi but NGOJA TUKASHANGAZE ULIMWENGU PALE ANFIELD


Hizi ni ndoto Za mchana. LFC KUIFUNGA MADRID NI SAWA NA MENDE KUANGUSHA KABATI...!



Khe Khe Khe Khe Khe Khe Khe.....!
 
Yani Leo mnapigwa vibaya sn Ndio mtamchukia BR wenu...! Sitoki humu Leo ktk Uzi wenu..!

Ha ha ha haaaa...!
Ndoto hizo kijana.
By the way how are you? Masiku kibao hatujacharuana...nilipotea kidogo but am back now!
 
Kesho hatufungwi Anfield kwanza napenda nikutoe wasiwasi
Pili tarajia game nzuri kutoka pande zote mbili
Tatu mabadiliko yafanywe kwenye beki ya kushoto tu aanze Moreno lkn Balo aanze pia
Nne Madrid nao beki yao sio nzuri
Huwa napenda sana courage ambavyo huwa unayo kwa kutopenda kukubaliana na hali halisi hasa jahazi letu likiwa linazama. Kuna kipindi nikisoma post zako huwa zinanipa nguvu kimtindo za timu yetu kuja kufanya vizuri game zijazo ingawa kiukweli kunakuwa hamna dalili zozote hizo.
 
Kesho hatufungwi Anfield kwanza napenda nikutoe wasiwasi
Pili tarajia game nzuri kutoka pande zote mbili
Tatu mabadiliko yafanywe kwenye beki ya kushoto tu aanze Moreno lkn Balo aanze pia
Nne Madrid nao beki yao sio nzuri

Hapo kwenye red nahisi hujawaelewa wale jamaa vizuri, ukisubiri mpaka beki yao ikatike ndio upate bao, utakuwa ushapigwa nne. Kwasababu wale wanacheza sana kiungo kwahiyo wote wanaokoa na kushambulia. Wale wanafungwa kwa mipira ya kusimama tu, yaani kona au adhabu ndogo. We kaa uone soka leo, si umezoea English football.
 
Jamaani dakika zimebaki chache msiangalie mechi yyt njoeni Liverpool muone soka linavyo dunda, kwa mwenye histolia nzuri ni lini Madrid wakaifunga Liverpool?
 
Mara ya mwisho kukutana Anfield ilikuwa hivi!!
 

Attachments

  • 1413995182309.jpg
    1413995182309.jpg
    24.4 KB · Views: 72
Back
Top Bottom