Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

I feel so so sorry kwa Fans wa LFC wote around the world, we dont deserve this..

Mkuu tumefungwa na team bora sana duniani hamna haja ya kumtafuta mchawi kwa matokeo haya!!

Tuombe tu perfomance ya leo hasa kipindi cha pili tuihamishie EPL tutapiga sana teams hizi
 

seriously???

blaming FSG for this???

we've spent 150mill katika usajili..why blaming FSG??..wenyewe ndo wanachagua wachezaji???

BR ni kocha wa mid-table sides, and only a mid-table coach angemnunua Lambert, Usiwalaumu FSG kabisa, coz they played their part vizuri tu, Walitoa zaid ya 150mill ya usajili..it was down kwa BR na bench la ufund kusecure pure talents kwa kiasi hicho..

Selling Agger for 2mill, kuwatoa kina coates na our most potential CB (illori) kwa mkopo, na kum-bakiza Kolo, kukacha usajili wa Remy for the sake of Borini (ambaye hamtumii), Continue kutumia 4-2-3-1 wakat haijatusaidia kwa chochote, Lovren is Shit (everybody can see that) kumfanya Injury prone ST kuwa Main ST wako, wakat u know kabsa jamaa is made of tracing paper...then bado unaniambia una-M-Back huyo Kocha???

kama LFC itaendelea kushinda itakuwa ni kwasababu ya JINA lake na uwezo binafsi wa Wachezaji wake lakin syo kwa taktks za kipumbavu za huyu kocha...

Tumecheza game zaid ya 10 mpaka sana, na we've only played vizuri MARA MOJA tu!

we couldnt even beat Basel for god sake!!!


WE'RE SHIT!
 
Nilisema lazima jogoo akatwe kichwa na maini yatupwe.
 

Naona leo unaongea ukweli mtupu,poleni sana
 

Endelea...kuomba...nakusubiri.....maana...hujui...ni...lini....utabeba....EPL....
 
Mkuu tumefungwa na team bora sana duniani hamna haja ya kumtafuta mchawi kwa matokeo haya!!

Tuombe tu perfomance ya leo hasa kipindi cha pili tuihamishie EPL tutapiga sana teams hizi

thats exactily my point!!!

hyo formation alyoitumia second half ndo ilikuwa inapigiwa makelele sana na Kina Callagher!!

Baada ya MAMBO kuharibika first-Half ndo akaja kuEmploy kipind cha pili...what for sasa???

Alfikiri ataweza kumfunga RMA goal 3 katika second half??

MY POINT, ni kwamba BR anatakiwa aache EGO na kujifunza kulingana na MAKOSA, Kina Callagher wanaipenda LFC kutoka Moyoni, ndo maana wakaandika makala ya aina ya kikosi ambacho kinaweza kikatusaidia kupata hata draw tu (utafikiriaje kushinda dhidi ya RMA ya sasa?)..

Lakin alichokifanya akaanza na formation ile ile iliyotutesa dhidi ya the bottom side team QPR, na safar hii akaanza nayo dhidi ya RMA, seriously???

4-2-3-1 haitatuletea Mafanikio Malafyale, Haitoweza kamwe!!!

Kocha wetu itabidi abadilike kwenye hilo ndugu yangu!
 
Last edited by a moderator:

Your absolute right ndugu yangu!Kipindi cha pili sijakaa chini kaka vijana wame impress sana!!

Nina imani atakuwa kaelewa sasa na Sakho aanze kwa Lovren na Lallana aanze kwa Baloteli hadi akipona Dan!!

Naona matumiani mbele ya kumpiga yyt yule EPL
 
Last edited by a moderator:
BR sio kocho mwenye tactics,yeye anachojua ni kutoa sub tu,kma umeangalia vizuri game ya leo ama tuseme na game zote zilizopita msmu huu tatizo letu limekua katika mfumo anao utumia kocha,pale mbele ndo hovyo kabisa huyu kocho anawafanya wachezaji waonekane hovyo,watu humu wanamlaumu balotelli sijajua ni kwa nini,bolotel anacheza kama lone straiker meaming anatakiwa kuhold mpira,kitu ambacho kwa baloteli hakiwezekani,balotel ni mtu wa kupewa pas na kufunga,kwa hili sio balotel tu kwa sasa liverpool hatuna mchezaji wa kuhold mipira,hsta wangemuweks nsni pale mbele ataonekana kma balotel tu.RS nae ni kukimbia kimbia tu hataki kiwaamini wezake pale mbele,ni kma vile anatafuta sifa binafsi,sikuelewa kwa nn alimtoa coutihn,dogo mpka anatoka ndo alikua kashikilia timu,allen leo sijamuona kabisa moreno vile vile ni kma hakuwepo,..naungana naww mkuu huyu kocha hatufai,hasa kwenye suala la mfumo mzima wa timu.
 
Poleni sana watani wangu....ndo game lilivyo,RM wanadeserve kushinda. Usiku mwema wakuu.

Cc EMT Malafyale eddy n Eddy

Dada juhudi zangu za ku employ ile technique ya kuminya kama mpira upo kwetu safari hii haijasaidia!!

Tukutane Jumapili dada na lala tight!We all love you bana
 
Last edited by a moderator:
Your absolute right ndugu yangu!Kipindi cha pili sijakaa chini kaka vijana wame impress sana!!

Nina imani atakuwa kaelewa sasa na Sakho aanze kwa Lovren na Lallana aanze kwa Baloteli hadi akipona Dan!!

Naona matumiani mbele ya kumpiga yyt yule EPL

Lovren should be benched!

MB apumzishwe tu!

RS aendelee kucheza kama false No.9 ili kutengeza combo ya kina Lallana, PC, Hendo, Allen, SG..

Akiendelea na 4-2-3-1 ili MB acheze, tutaendelea KULIA kila siku!!!

Mwenzake LVG alipigiwa makelele sana kuhusu 3-5-2 akabadilisha, lakini kocha wetu sisi bado yupo KULE KULE tu ( role model wake lazima atakuwa ni Wenger tu)..

Abadilike Aisee!!
 

Bro Jaslaws hii 4-2-3-1 itaendelea kutuliza sana MSIMU huu...

Na sijajua bado anaing'ang'ania sana kwa ufahari upi??..manake inatuumiza sana!!!
 
Last edited by a moderator:

Lovren ni KIMAVI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…