thats exactily my point!!!
hyo formation alyoitumia second half ndo ilikuwa inapigiwa makelele sana na Kina Callagher!!
Baada ya MAMBO kuharibika first-Half ndo akaja kuEmploy kipind cha pili...what for sasa???
Alfikiri ataweza kumfunga RMA goal 3 katika second half??
MY POINT, ni kwamba BR anatakiwa aache EGO na kujifunza kulingana na MAKOSA, Kina Callagher wanaipenda LFC kutoka Moyoni, ndo maana wakaandika makala ya aina ya kikosi ambacho kinaweza kikatusaidia kupata hata draw tu (utafikiriaje kushinda dhidi ya RMA ya sasa?)..
Lakin alichokifanya akaanza na formation ile ile iliyotutesa dhidi ya the bottom side team QPR, na safar hii akaanza nayo dhidi ya RMA, seriously???
4-2-3-1 haitatuletea Mafanikio
Malafyale, Haitoweza kamwe!!!
Kocha wetu itabidi abadilike kwenye hilo ndugu yangu!