Kocha mwingine akija hata leo, unadhani ataweza kufanya vizuri kwa wachezaji hawa hawa? Na unam propose kocha gani?
The only Coach ambaye anaweza akailift LFC ni Benitez tu!!!
Japokuwa hakuondoka vizuri pale LFC, lakin ndiye kocha mwenye ufunguo na LFC..RB asingewanunua kina Borini, Aspas, Kolo, Lambert, Luis Alberto, Etc...
Benitez asingetuletea kina Carrol, downing, charlie Adams, Kina Poulsen, jovanovic, Joe cole etc..
Under RB, we witnessed the signings of Agger, Skritel, Babel, Torres, Alonso, Mascherano, Arbeloa, Riera, Aurelio, Aquillan, Momo Sissoko etc,He brought The likes of Raheem Sterling, Suso etc kwenye Academy..
RB alifanya kazi chini ya Owners wasumbufu sana kina Tom, lakin bado aliing'arisha team, unaweza ukaimagne RB angefanya usajili wa aina gani kama angepewa 115+mill???...migogoro ndan ya Club ndo iliyopelekea LFC iyumbe 2009/2010..kuresign kwa Comolli ndo kukapigilia msumari masuala ya Usajili LFC na inajulikana ni yeye ndo aliyeanzisha negotiation za kumleta Suarez LFC...
BR is not enough for LFC, hakuna excuses hapo, JURGEN KLOPP kila msimu anaondokewa na wachezaji wake MA-STAR, lakin bado anafanya vizuri kwenye league na UCL..
BR, usajili wake ni questionable..na pia Kwa miaka 3 aliyokuwepo LFC defence ya LFC haija-Mprove kwa chochote...Huwez kusema kuwa players waliopo LFC aren't enough wakat Clearly tactics zake ni mbovu, ST mmoja mbele haifany kaz this season, kwa kocha mwenye akili angekuwa ameshaliona hilo, na kijaribu njia nyingne kuleta mabadiliko!!!
Anapoondoka World class player katka team yako, itabid uremplace na World class player mwingine (pesa ilikuwepo) but BR failed kwenye hilo suala kwa kufikiria kuwa the injury prone Danny ndo atakuwa the main ST na its a known fact kuwa Danny ni injury pron...Vitu vidogo kama hivyo huwez kuona RB anafanya...he conviced HIGUAIN to join Napoli ya ITALY over Arsenal...But BR couldnt even convince MIKHTARYAN to join LFC over Dortmund!!!