Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
kwahiyo kama hatuingii wewe inakuuma nini
You WILL NEVER WIN AGAIN (,YNWA)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahiyo kama hatuingii wewe inakuuma nini
Oya,mbona unapenda kutufata fata sana? Kama hatuioni hiyo Top4,so what?? We unataka sisi tufanyeje sasa kama timu yetu majanga? Idiot
Na Bado mtakua wakali km nyuki Lkn ukweli utabaki kua pale pale.......timu yenu imekua hovyo na msimu Huu hamna chochote mtakachopata......!
Khe Khe Khe Khe
Aisee umeamua kua mganga wa kienyeje.?
Na Bado mtakua wakali km nyuki Lkn ukweli utabaki kua pale pale.......timu yenu imekua hovyo na msimu Huu hamna chochote mtakachopata......!
Khe Khe Khe Khe
You WILL NEVER WIN AGAIN (,YNWA)
Enhe...so what?? Nini kinakuwasha sasa
Kocha mwingine akija hata leo, unadhani ataweza kufanya vizuri kwa wachezaji hawa hawa? Na unam propose kocha gani?FSG should get rid of BR haraka sana!
Naona anaanza kuturudisha kule kule tulikotoka!!
Of all the players tulionao kwenye team, unamwingiza Lambert akakubadilishie matokeo!!
We'r shit jamani, totally shit!
Khe Khe Khe Khe
YOU WILL NEVER WIN AGAIN
YWNWA
Khe Khe Khe Khe khe
Kocha mwingine akija hata leo, unadhani ataweza kufanya vizuri kwa wachezaji hawa hawa? Na unam propose kocha gani?
Mkuu MosDef...yote uliyoyasema ndo yote kbs yamekuwepo kichwani na moyoni mwangu for a long time! Nataka niwaambie wadau kitu kimoja muhimu,BR is not a world class Manager,simply he can't convise a world class player to work with him,insted ndo mana tunaona kasajili wachezaji ambao hata stoke city hawapati namba,Assaidi,Lambert etc. Hata Mario kambahatisha tu kwa vile alikuwa desperate to leave Milan.