Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Oya,mbona unapenda kutufata fata sana? Kama hatuioni hiyo Top4,so what?? We unataka sisi tufanyeje sasa kama timu yetu majanga? Idiot

Na Bado mtakua wakali km nyuki Lkn ukweli utabaki kua pale pale.......timu yenu imekua hovyo na msimu Huu hamna chochote mtakachopata......!

Khe Khe Khe Khe
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Na Bado mtakua wakali km nyuki Lkn ukweli utabaki kua pale pale.......timu yenu imekua hovyo na msimu Huu hamna chochote mtakachopata......!

Khe Khe Khe Khe

Aisee umeamua kua mganga wa kienyeje.?
 
Khe Khe Khe Khe

YOU WILL NEVER WIN AGAIN

YWNWA

Khe Khe Khe Khe khe
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
FSG should get rid of BR haraka sana!

Naona anaanza kuturudisha kule kule tulikotoka!!

Of all the players tulionao kwenye team, unamwingiza Lambert akakubadilishie matokeo!!

We'r shit jamani, totally shit!
Kocha mwingine akija hata leo, unadhani ataweza kufanya vizuri kwa wachezaji hawa hawa? Na unam propose kocha gani?
 
Kocha mwingine akija hata leo, unadhani ataweza kufanya vizuri kwa wachezaji hawa hawa? Na unam propose kocha gani?

The only Coach ambaye anaweza akailift LFC ni Benitez tu!!!

Japokuwa hakuondoka vizuri pale LFC, lakin ndiye kocha mwenye ufunguo na LFC..RB asingewanunua kina Borini, Aspas, Kolo, Lambert, Luis Alberto, Etc...

Benitez asingetuletea kina Carrol, downing, charlie Adams, Kina Poulsen, jovanovic, Joe cole etc..

Under RB, we witnessed the signings of Agger, Skritel, Babel, Torres, Alonso, Mascherano, Arbeloa, Riera, Aurelio, Aquillan, Momo Sissoko etc,He brought The likes of Raheem Sterling, Suso etc kwenye Academy..

RB alifanya kazi chini ya Owners wasumbufu sana kina Tom, lakin bado aliing'arisha team, unaweza ukaimagne RB angefanya usajili wa aina gani kama angepewa 115+mill???...migogoro ndan ya Club ndo iliyopelekea LFC iyumbe 2009/2010..kuresign kwa Comolli ndo kukapigilia msumari masuala ya Usajili LFC na inajulikana ni yeye ndo aliyeanzisha negotiation za kumleta Suarez LFC...

BR is not enough for LFC, hakuna excuses hapo, JURGEN KLOPP kila msimu anaondokewa na wachezaji wake MA-STAR, lakin bado anafanya vizuri kwenye league na UCL..

BR, usajili wake ni questionable..na pia Kwa miaka 3 aliyokuwepo LFC defence ya LFC haija-Mprove kwa chochote...Huwez kusema kuwa players waliopo LFC aren't enough wakat Clearly tactics zake ni mbovu, ST mmoja mbele haifany kaz this season, kwa kocha mwenye akili angekuwa ameshaliona hilo, na kijaribu njia nyingne kuleta mabadiliko!!!

Anapoondoka World class player katka team yako, itabid uremplace na World class player mwingine (pesa ilikuwepo) but BR failed kwenye hilo suala kwa kufikiria kuwa the injury prone Danny ndo atakuwa the main ST na its a known fact kuwa Danny ni injury pron...Vitu vidogo kama hivyo huwez kuona RB anafanya...he conviced HIGUAIN to join Napoli ya ITALY over Arsenal...But BR couldnt even convince MIKHTARYAN to join LFC over Dortmund!!!
 
Mkuu MosDef...yote uliyoyasema ndo yote kbs yamekuwepo kichwani na moyoni mwangu for a long time! Nataka niwaambie wadau kitu kimoja muhimu,BR is not a world class Manager,simply he can't convise a world class player to work with him,insted ndo mana tunaona kasajili wachezaji ambao hata stoke city hawapati namba,Assaidi,Lambert etc. Hata Mario kambahatisha tu kwa vile alikuwa desperate to leave Milan.
 
Last edited by a moderator:
What a nightmare! Jumamosi mnatakiwa kukipiga Santiago Bernabeu, najua mnaomba siku zisogee pole pole.
 
Mkuu MosDef...yote uliyoyasema ndo yote kbs yamekuwepo kichwani na moyoni mwangu for a long time! Nataka niwaambie wadau kitu kimoja muhimu,BR is not a world class Manager,simply he can't convise a world class player to work with him,insted ndo mana tunaona kasajili wachezaji ambao hata stoke city hawapati namba,Assaidi,Lambert etc. Hata Mario kambahatisha tu kwa vile alikuwa desperate to leave Milan.

Before I buy what you are trying to sell me above (in red), je unaweza kunielemisha kidogo ni kwa nini wachezaji wafuatao (kwa uchache) hawakuja Anfield japo walikuwa kwenye radar za BR?
With hard facts, no speculative sentiments please...

Falcao
Di Maria
Cavani
Diego Costa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom