Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kila siku yeye tu hatulii.
Anabaki Nunez na kipa ila mguu wake ghafla unapata kengeza🚮
Sisi Liverpool halisi tunaamini Nunez ni mzuri kama wachezaji wengine, kuna wakati pia Salah alikuwa anapata chance mpaka akaitwa mchoyo 😄,

Mwenyekiti Malafyale njoo huku.

Halafu muda umepita hatujamsikia mkuu MosDef akishusha nondo, hasa lile sakata na Tottenham, uwezekano wakurudia mechi upo kweli?
 

Sahau kwa ENGLAND.

Binafsi acha ibaki hivyo ilivyo tutavaana mbele kwa mbele.

Darren England, the VAR official who made the mistake last weekend, will not officiate Liverpool for the rest of the season.

(Source: @SamWallaceTel

PGMOL wamejitahidi kweli, kurelease hiyo audio kudos ila mahali ninstofsutiana nao ni kwenye adhsbu. Mfungie mtu mechi 10 mlime fine ya 250k

Atleast itawaongezea umakini.
 
Trent on what the new midfielders bring:

“I’m seeing people who can receive the ball. If I have to put extra pace on the pass or something, I don’t doubt that they’re able to deal with it. That’s something that helps”

Dongo kwa Hendo hili
 
Uwezekano ni 99% hapana na 1% yes ila kuanzia sasa kwenda kutakua kuna new code of conduct wa on field na off field officials pia terms zitakua well communicated.. Sio check complete aafu refa hajaambiwa check complete kitu gani goli au off side lakin pia upo uwezekano ikawa kama rugby kwamba hata mashabiki wawe wanapata hayo mazungumzo in real time.

YNWA
 
Tukipanda pale juu kuna watu wajiandae kunyanyasika😂
Ntanyanyasa watu mimi akiyanani.
We are almost there dia... Ni suala la kusajili beki wa kati mmoja na kiungo mkabaji mmoja na there we are chasing glory again... Bado tuna ruhusu lots of space kua exploited kwa kua hatuna proper DM lakini kama tutakua kwenye mix mpaka January Manchester City wasiwe wamesepa mbali sana then we have a chance...

We are 2 players away kumkimbiza Kipara...

YNWA
 
Best way to start the weekend.... Miss Liverpool trip to Brighton a bit scary haha wale sio watu wazuri....

YNWA

They are on loosing streak, ila ndio hivyo ukikaa vibaya wanapiga tu nao ukiwabana unapiga ksma ngoma.

Hopefully Nunez will be our target with his pace and positioning apart of missing chances. Hawa brighton wako very offensive msimu huu, its to Klopp.

No Jones No Jota No Gakpo
Diaz, Nunez and Salah our front three, on the middle of the park Macca Szobozslai will start for sure hapo ni Endo/Gravenbernch mmoja ataanza. Japo napata sense huenda tukamuona TAA kwenye hiyo trio iwe Szobozslai, Macca and TAA kisha Gomez akapiga RB but is not more likely to happen. Matip VVD our CB’s then Robbo our LB,


Bring them on..!!!
 
Hatutaki excuses...tunataka kikosi kama cha city ili tufukuzane vizuri...
Sio akiumia mmoja tunaanza kusingizia...
Klopp alete beki ya maana
Alete forward ya maana

Scoring is not an issue to us, but to defend is a bit of challange. Na hapa ni kukosa proper DM mwenye quality na muendelezo. Playing Macca as DM is a wastage of talent ya Macca.
 

Naam. Nafikiri quality DM gonna save our life than getting CB. If it must one i will go with DM.
 
Without Gapko na Jota here comes Captain Chaos starting line up chance kazi kwake.. With his pace atawabana kimtindo jamaa wasipande sana ndio uzuri wa Nunez muda wote defenders play with lots of caution hivyo gradually reducing kushambuliwa kwetu... This is a good thing maana siwaamini kabisa wale mabeki under presha wataachia tu aisee...

Jones out means Endo au Grave mmoja atacheza n in this case i would play GB as Brighton wont sit they will come n come thus having ballers will minimise loss of passes n slowing joto kiasi fulani... Play GB, Sobi, Mac n invented Trent n we are sorted...

Ishu Brighton wanapenda sifa sana hawa jamaa japo kwa sasa wana majeruhi wakutosha Lallana, Estopi, Milner nk nk hivyo kikosi kimekua over worked as they are in Europe pia...

Klopp relishing the tussle...

YNWA
 
Scoring is not an issue to us, but to defend is a bit of challange. Na hapa ni kukosa proper DM mwenye quality na muendelezo. Playing Macca as DM is a wastage of talent ya Macca.
Mechi ya kishinda goli 5 tunapata 2 za papatu papatu...magoli ya jana ni papatu papatu..
Defense kweli hamna kitu..lakini sisi ni timu kubwa hatutakiwi kuwa na excuses..klopp anakumbatia watoto awaache waende arsenal chaka lao
 
Naam. Nafikiri quality DM gonna save our life than getting CB. If it must one i will go with DM.
Kuna yule 22yrs Brazilian kid Klopp supposed kumfuata January sikumbuki jina.. Sija m profile whether he will serve us defensive wise but true we need a solid DM more then the CBs... Endo was brought in for that job lakini naona Klopp anaachia mambo yajiedee tu kama kawaida...

YNWA
 
Even the great boys do get dry spell... Klopp hatulii mara ampange mara bench, Nunez is boy that needs more game time sio hizi dakika 10 20 za EPL..

Well the jury will say more come end of season...

YNWA
Hapewi game time sababu hajui...si anamuona mazoezini, kumbuka huyu tulimleta na rival akamleta haaland...
Lakini unaona huyu hawez tena..tulete mwingine
 
Kiukweli binafasi yangu Nunez simkubali
Chance anazopata , angepata mtu kama Jota au Salah ni mabao ya wazi kabisa.

Nunez, Diaz na Gakpo wana kiuchoyo Fulani.. kama alivyosema mdau pale juu,
Wanataka wafunge kistar.



Mechi isiporudia refarii anyongwe tu hatuna namna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…