Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mtu kajichafua mwili mzima, WA Nini sasa?[emoji81] unaogopa waliojichora,?
Anakata stimu😂
Mie mlokole
Trent mitano tena✊
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu kajichafua mwili mzima, WA Nini sasa?[emoji81] unaogopa waliojichora,?
Hao kima mapema sana tunafunga hesabuBest way to start the weekend.... Miss Liverpool trip to Brighton a bit scary haha wale sio watu wazuri....
YNWA
Maisha yake yote yule mwehu asivhezeshe mechi yetu yoyoteSahau kwa ENGLAND.
Binafsi acha ibaki hivyo ilivyo tutavaana mbele kwa mbele.
Darren England, the VAR official who made the mistake last weekend, will not officiate Liverpool for the rest of the season.
(Source: @SamWallaceTel
PGMOL wamejitahidi kweli, kurelease hiyo audio kudos ila mahali ninstofsutiana nao ni kwenye adhsbu. Mfungie mtu mechi 10 mlime fine ya 250k
Atleast itawaongezea umakini.
Apewe mara ngapi?Even the great boys do get dry spell... Klopp hatulii mara ampange mara bench, Nunez is boy that needs more game time sio hizi dakika 10 20 za EPL..
Well the jury will say more come end of season...
YNWA
Matip sina hamu naye[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Unamkacha dokta haha utulie ujue Matip anakusoma hapa atatnune auze mechi tena jpili [emoji1][emoji1]
YNWA
Muda wa kupanda juu ndio huu sasaWe are almost there dia... Ni suala la kusajili beki wa kati mmoja na kiungo mkabaji mmoja na there we are chasing glory again... Bado tuna ruhusu lots of space kua exploited kwa kua hatuna proper DM lakini kama tutakua kwenye mix mpaka January Manchester City wasiwe wamesepa mbali sana then we have a chance...
We are 2 players away kumkimbiza Kipara...
YNWA
😂 😂 😂 Slow but sure...Muda wa kupanda juu ndio huu sasa
😂 😂 Klopp kashasema apewe mkataba mpya jamaa.Matip sina hamu naye
Mahaba machache yalikokuwa yamesalia nayo yameisha.
Alikuwa anakimbilia wapi jamani,, kuharakisha kupiga mpira ona tukajifunga kizembe aisee.
Kwanza auzwe tu.
Nunez mnyama haha na bado yumooo sanaaaaa....Kiukweli binafasi yangu Nunez simkubali
Chance anazopata , angepata mtu kama Jota au Salah ni mabao ya wazi kabisa.
Nunez, Diaz na Gakpo wana kiuchoyo Fulani.. kama alivyosema mdau pale juu,
Wanataka wafunge kistar.
Mechi isiporudia refarii anyongwe tu hatuna namna.
Hakuna unyama wowoteNunez mnyama haha na bado yumooo sanaaaaa....
Captain Chaos jpili anakwenda kukiwasha Falmer Stadium... Cha muhimu pointi 3
YNWA
Huyo huyo Matip aliye jifunga bila yeye tungepigwa goli nyingi sana et saiv unamsema hata yale marudio uliyo yaangalia hayakukusaidia chochote Miss.Matip sina hamu naye
Mahaba machache yalikokuwa yamesalia nayo yameisha.
Alikuwa anakimbilia wapi jamani,, kuharakisha kupiga mpira ona tukajifunga kizembe aisee.
Kwanza auzwe tu.
Tumekwisha😂 😂 Klopp kashasema apewe mkataba mpya jamaa.
YNWA
Siyo lazima tulingane mtazamo.Huyo huyo Matip aliye jifunga bila yeye tungepigwa goli nyingi sana et saiv unamsema hata yale marudio uliyo yaangalia hayakukusaidia chochote Miss.
Sawa endelea na mtazamo wakoSiyo lazima tulingane mtazamo.
Pengine angecheza mwingine nafasi yake angekaba hivyohivyo
Kumbukeni kipara akipashika pale kileleni haachii😂 😂 😂 Slow but sure...
YNWA
Hakuna kulala mdogo wanguMjep hulali tu?