Nyie siyo wa kwanza kukumbwa na dhahama ya VAR punguzeni kulia lia
Ishu sio kulia, mbuzi wa kafara kwa ajili ya wengi.
Achilia mbali disallowed zile card ya Jones it shouldnt be a red. Aliucheza mpira kwa 100% ndio mkuu wa jamaa ukafuata. Game vs Chelsea Macca alioneshwa card ya njano kwa situation kama ile, ila ilikua against.
First yellow card ya Jota, was a funny Card of the season. Sikiliza zile sudio za PGMOL ndio utaona dhamira ya refa ilikuwa wapi.
4 red cards in just 7 matches tena za mwanzo kabisa wa msimu, ambayo moja ilikatiwa rufaa na ikafutwa, utaona kuna ajenda chafu inaendelea dhidi ya LFC.
Kadi za kijinga jinga tu hazina mantiki.
VAR ilitegemewa kuja ku solve changamoto lakini ndio imeongeza zaidi, timu zinaonewa.
Last season tuliona Westham vs Chelsea, westham wakinyimwa goli halali baada ya mechi PGMOL wakaomba msamaha, Arsenal vs Brentford, Arsenal wakinyimwa goli wakaombwa msamaha, Man utd vs Wolves msimu huu Wolves walinyimwa goli halali, baadae wakaombwa msamaha.
Shida sio kulia, its for the sake of others too. English referee have inconsistency decision.
Howard Webb should step out from PGMOL Chief Refereeing officer,