Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nashindwa kupata logic, kwanini baada ya hapo VAR wasimkumbushe kwamba ni maamuzi ya usahihi wa goli ili arudi ku review? Kwanini maamuzi ya VAR ni ndani wa sekunde au dakika ngapi?
Soma kwa makini nilipoweka bold.. Ni kwamba refa alivyotoa foul kwa Spurs kwamba Diaz aliotea basi VAR hawakujua kama refa hajaweka mpira kati na muda wanakuja kustuka sheria zinakataa VAR kurudisha lile tukio nyuma kwa kua refa alishatoa maamuzi tayari.... Habari zinasema karibu jopo lote la marefa walioshiriki hii gemu ya Liverpool walikua wamesafiri Saudia kikazi na wamerejea UK ijumaa sasa hilo nalo linatazamwa kama walikua na uchovu fulani pia..
Ipo hivi... Huyu Chief VAR hata hakujua kama mpira haujawekwa kati mbali ni foul je alisinzia kazini ama niaje haya yote ni maswali yanayohitaji ma jibu

.......... It remains unknown when England and Cook first realised their mistake. Following England's message of 'check complete' to on-field referee Simon Hooper, the game restarted less than a minute after Diaz had scored his goal with a free-kick to Tottenham.

With the game 'live' again, it is thought that the VAR team felt unable to intervene.

Sheria inasema hivi...

The IFAB rules on VAR state play cannot be brought back in a case like this. Rule 10 says: "If play has stopped and been restarted, the referee may not undertake a 'review' except for a case of mistaken identity or for a potential sending-off offence relating to violent conduct, spitting, biting or extremely offensive, insulting and/or abusive action(s)."

YNWA
 
How about red card? Mimi naona bado hata wapambwe vipi, ni kwamba inaonyesha tu Refa ana roho mbaya, sina cha ziada.
 
Kwa machungu kabisa nacheck mechi 😭

Hivi offside kinaangaliwa kitu gani?
Mbona kama sielewi hili goli la Diaz
Wajuzi nielekeze.

Na kadi nyekundu mbona kama yule ndo kajipachika miguuni mwa Jones!
Kweli mpira sijui🙌
 
Attachments

  • IMG-20231001-WA0042.jpg
    IMG-20231001-WA0042.jpg
    41.8 KB · Views: 3
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Sijui alinyoa apate na kubebeleza mkataba mpya lol...

Na ameupata soon anaanza kula poud laki 2 kwa wiki plus bonus.

YNWA
Huyu mtoto wayback 2019 huko nilimpenda sana kwa kweli.

Alivyosokota mirasta kama mvuta bangi akawa mbaya[emoji3064]
Sasahivi narudisha majeshi[emoji7]
Ongea na Def vizuri anipee koneksheni kwa kaka yake Trent maana aisee hawa machotara wazuri mno jamani

.....
Heri ameongezewa
Dogo ni mzalendo sana na anastahili.
 
Halafu kumbe pale kwenye screen wanadisplay na jina la mfungaji[emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji174]
IMG-20231002-WA0024.jpg
IMG-20231002-WA0026.jpg
IMG-20231002-WA0027.jpg
 
Tangu tulivyo pata Midfielder wakueleweka saivi CB karibu wote wamerudi kwenye ubora sio VVD sio Gomez sio Matip hata Jarrel ni bonge la beki hii yote kumbe shida ilikuwa nikwenye Midfielder tu, saiv hata wakicheza watu 9 matokeo yanatafutwa kwanguvu [emoji23][emoji23] hii timu saiv inanipa raha.
 
Back
Top Bottom