Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Aaaa wapi walipwe na nani labda hukooo Saudia sio Europe aisee.Alafu eti na wao wanataka walipwe kama wachezaji pumbavu zao hao wabaki na vihela mbuzi ivyo ivyo.
YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaaa wapi walipwe na nani labda hukooo Saudia sio Europe aisee.Alafu eti na wao wanataka walipwe kama wachezaji pumbavu zao hao wabaki na vihela mbuzi ivyo ivyo.
Feel good is back at the Emirates aisee.... Back to the basics they have a chance ila wakijaribu sana kua wabunifu itawa cost...Washabiki wa Arsenal nao wamekuwa watembeaji wa kila Jukwaa kuleta Trolls zao due to their current performance! They pretend their difficulties will not commence sooner or later.
Ya Diaz hata kuitwa kwenye ki Tv hakuna kabisa yaani hii ligi wakati mwingine inachosha kabisaa... Huyu refa anatakiwa ashushwe huko Championship sio levo ya EPL maana ndani ya msimu huu kashafanya makosa makubwa hivi mechi ya Wolverhampton vs Manchester United na hii ya jana, huyu akiachiwa ipo siku atakataa goli la wazi kabisa...
He is just a time bomb.
Howard Webb atazame tena safu yake ya ma refa wanamwangusha aafu anajikuta yeye anatumia nguvu sana kuelezea yaliyojiri.
YNWA
Nimejaribu kuifuatilia scenario nzima nimegundua VAR officials hawakuwa na makosa just ni misunderstanding tu between VAR officials and Referees.View attachment 2767936
Hivi hii VAR mbona miyeyusho sana walishindwa nini pale kuchora vile vimstali kuona kama goli la Diaz ni offsides aafu hapa wanajitokeza eti kuomba msahamaha kwa makosa yao yaaani like serious kweli bado VAR inatugharimu mchana kweupee.
YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Neno moja kwaoView attachment 2768167
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Haya nyie.
YNWA
Maskini kishingo[emoji23]
Itungwe sheria ya kurudia mechi
Wwehu huyu pimbi.
Usinizingatie sanaKuwa mwanasport achana na hizi Mindset.
Steven Gerrard alitoa assist kabisa kwa Demba Ba tukafungwa goli lililotukosesha Ubingwa na still tukampa support ulikuwa wapi kipindi hicho?
Individual errors zinatokea kwenye mpira ni kitu kisichoepukika jambo ambalo alilofanya Shevchenko akawakosesha wenzake ubingwa wa UCL hatimae tukabeba sisi.
John Terry akiwa Captain aliwakosesha wenzake Ubingwa wa UCL mbele ya Man United.
So, be positive na kuwapa support Wachezaji wanapokuwa kwenye kipindi kigumu hasa mazingira kama ya jana Timu nzima ilikuwa underpressure.
Mie andazi ,Wewe basi ni shabiki kitumbua Cha Michele.Wewe dada mwakipesile ni shabiki andazi mwandamizi . Ule mpira uliduda kidogo kabla hajauclear na ndio maana haukwenda kwenye direction aliyokusudia sasa hapo unalaumu nini? It was bad luck.
Yaani wanaomba msamaha ambao haibadili chochote!acha tuu
Nashindwa kupata logic, kwanini baada ya hapo VAR wasimkumbushe kwamba ni maamuzi ya usahihi wa goli ili arudi ku review? Kwani maamuzi ya VAR ni ndani ya sekunde au dakika ngapi?Nimejaribu kuifuatilia scenario nzima nimegundua VAR officials hawakuwa na makosa just ni misunderstanding tu between VAR officials and Referees.
Central Official (Referee) ndiyo aliyeshindwa kuumudu mchezo wetu wa jana.
Hali ilivyokuwa![]()
Baada ya Luis Diaz kufunga goal na Referee kudecide kuwa ni offside kwa msaada wa Linesman, VAR officials walifikiri kuwa muamuzi ameamua ni goal hivyo hawakupiga ile offside line kwasababu it was obviously no offside hivyo hawakuona umuhimu wa kureview with offside line.
Hatimae VAR Officials wakawasiliana na Referee kwa kumwambia "Endelea na huohuo uamuzi wako ni sahihi (walidhani Refa aliamua ni goli)".
Naye Refa alipopata ujumbe wa kuwa abaki na uamuzi wake wa mwanzo kutoka kwa VAR Officials akaamua ipigwe Freekick na sio goli.
Refa aliamini VAR Officials wamekubali kuwa ni Offside.
Hivyo kilichotokea ni misunderstanding between Referee and VAR Officials.
Hii nimeisoma kwenye Article ya Mdau mmoja wa Soccer.
Comment of the week[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Uogoro gani? Ukitoa Magolikipa wa pande zote mbili kwenye Pitch wanabaki wangapi?
Maisha ya football burudani sana unaweza kuwa na kitu inaitwa "spell " na referee,sisi Chelsea ndio wahanga wakubwa Sasa ivi tuna wachezaji vidagaa hata kutuonea wanaona aibu ila tukizubaa tunapigwa matukioHa ha ha ha haya inanikumbusha game zenu akichezesha Michael Oliver lazima vilio vitawale darajani.
Mambo kama haya ndiyo yaliyofanya toka Howard Webb kustaafu Man United imetawaliwa na vilio.
Tukiwaambia tatizo lenu sio Glazer wala ETH bali ni kustaafu kwa Howard Webb huwa hawakubali.
Enzi za Howard Webb game ya jana wangeshinda 3 - 1 huku wakiwa na Penalties 2 na red card kwa Crystal Palace.