King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,117
- 6,897
Kelele zetu za game ya Spurs zimezaa matunda leo Refa katoa Tuta bila ya kupepesa macho mara mbili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ni hisia zakoKuna Kitu kinaendelea Kwa Mo Salah Now Kila Akifunga Ashangilii Mbona!!
Kuna watu wanaangalia madhaifu tu.Anakaa anaongea ongea tu, wa kuibeza timu alafu anakuja kushangilia. Huyo huyo Macallister ametusaidia mangapi?
HAwa BHA leo wakae kwenye mfumo,, last season wametutesa sana hawa.
Yah ni Hisia Zangu na Macho yangu Pia.Hizi ni hisia zako
Naona wameshaelekea kibla,, tunoe kisu hii break tuje tule supu ya ulimi.[emoji23][emoji23][emoji23] ninazofurahi wakitandikwa ni pamoja na hawa wanajifanya kikamia mechi kubwa kubwa leo wataita maji mmma
Kelele zetu za game ya Spurs zimezaa matunda leo Refa katoa Tuta bila ya kupepesa macho mara mbili
Aisee saiv hata tukifungwa nipo pamoja na timu maana najua inapambana sana, Et unashangaa mtu anamsema Matip kujifunga [emoji23][emoji23] wakati alipambana sana kuokoa magoli mengi ile mechi vs Totte nilishangaa sana.Kuna watu wanaangalia madhaifu tu.
Tena matuta mawili pale kama sheria ingekuwa inaruhusu 🤣 maana Diaz nae kwenye follow up alikwatuliwa paleIle ilikuwa ni tuta live bila chenga mkuu. Jamaa kavutwa kabisa shingoni kwenye kola
Naona wameshaelekea kibla,, tunoe kisu hii break tuje tule supu ya ulimi.
Kawa tajiriKuna Kitu kinaendelea Kwa Mo Salah Now Kila Akifunga Ashangilii Mbona!!
Tena matuta mawili pale kama sheria ingekuwa inaruhusu [emoji1787] maana Diaz nae kwenye follow up alikwatuliwa pale
BHA ukilegea wanakunyoka mpk akili inakukaa. Huu msimu tutoe uteja kwa hawa vinabo.Toka Chelsea wamtandike sasa ivi watu wanajipigia tu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tena matuta mawili pale kama sheria ingekuwa inaruhusu [emoji1787] maana Diaz nae kwenye follow up alikwatuliwa pale
Kikosi kimepanukaToka Chelsea wamtandike sasa ivi watu wanajipigia tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mac sio DM mkuu hiyo nafasi kwake ni makeshift tu. Na hapo ndio Brighton wanapotuwin maana hatuna DM anaweza kuisoma game na kufanya interceptions, tackling n.k hapo kati