Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Waliangalia tu pesaHii Timu kuna Washabikia waking'ang'ania Salah auzwe.
Yani walitaka Nunez ndiyo atupe matokeo au? Kweli kuna Watu hawapo serious! Ukweli usemwe inafika pahala Salah anakuwa one man army.
Nyunyez angetushusha darajaWaliangalia tu pesa
Wao wanawaza tupate pesa.
Haya ,angeondoka Salah sijui nanu angekuwa anafunga.
Nyunyez, mchezaji wa MosDefNyunyez angetushusha daraja
Na brother Captain MarvelousNyunyez, mchezaji wa MosDef
Huyu ni mchezaji wa dk 20 za mwisho mpaka 10, ukimuanzisha umemuuaNa brother@Captain Marvelous
Hakuna namba tungeacha onaNyunyez angetushusha daraja
Defence bdo haipo vzurKutana na Liverpool, inafunga magoli ya kutafuta kwelekweli ila inafungwa magoli mepesi kwelikweli
Ally Hassan BakariHahahahahhahahahhahhh!Eti Ali Bakari kumbe ndio jina lake halisi ?
Huyu Nyunyezi nakumbuka wewe ulimkataa from day 1 mechi aliyopewa Red Card 😄Nyunyez angetushusha daraja
Captain Marvelous anaamini Nunez atakuwa zaidi ya SalahMosDef anaamini kunasiku Nunez atageuka Torres
Mimi kama rival fan nilikuwa nasubiri kwa hamu Sana hii move ,bahati Liverpool waliizuia kwa nguvu zoteHii Timu kuna Washabikia waling'ang'ania Salah auzwe.
Yani walitaka Nunez ndiyo atupe matokeo au? Kweli kuna Watu hawapo serious! Ukweli usemwe inafika pahala Salah anakuwa one man army.
Nyunyezi ni over hypedNyunyez, mchezaji wa MosDef
Huyu Salah tokea 2019 Watu wanapigania auzwe.Hakuna namba tungeacha ona
Dogo akifika golini anakuwa kama kipofu hivi.
Nunez manjonjo mengi aonekane Mzee wa magoli makali.
Yaani Salah ni habari nyingine.
Kwanza ni rarely kusikia ameumia.
Yani nikimkataa Mtu hata aje nani ampambe kwa mauwa basi hawezi kunishawishi.Huyu Nyunyezi nakumbuka wewe ulimkataa from day 1 mechi aliyopewa Red Card [emoji1]
Msimu ujao nahisi atauzwa, Matajiri wa Kiarabu wanajua fika Salah ni Kipenzi cha Waarabu kwasababu ni mwenzao hivyo watamnunua kwa ajili ya Brand yake na kibiashara, wanaweza kutoa hata £200M halafu sisi tubaki na Nyunyezi matattoo.Mimi kama rival fan nilikuwa nasubiri kwa hamu Sana hii move ,bahati Liverpool waliizuia kwa nguvu zote
Bila Salah sijui mngekuwa wapi muda huu ,
Ni Jeshi la mtu mmoja