Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hii Timu kuna Washabikia waking'ang'ania Salah auzwe.
Yani walitaka Nunez ndiyo atupe matokeo au? Kweli kuna Watu hawapo serious! Ukweli usemwe inafika pahala Salah anakuwa one man army.
Waliangalia tu pesa
Wao wanawaza tupate pesa.

Haya ,angeondoka Salah sijui nanu angekuwa anafunga.
 
Hii Timu kuna Washabikia waling'ang'ania Salah auzwe.
Yani walitaka Nunez ndiyo atupe matokeo au? Kweli kuna Watu hawapo serious! Ukweli usemwe inafika pahala Salah anakuwa one man army.
Mimi kama rival fan nilikuwa nasubiri kwa hamu Sana hii move ,bahati Liverpool waliizuia kwa nguvu zote

Bila Salah sijui mngekuwa wapi muda huu ,

Ni Jeshi la mtu mmoja
 
Hakuna namba tungeacha ona
Dogo akifika golini anakuwa kama kipofu hivi.

Nunez manjonjo mengi aonekane Mzee wa magoli makali.

Yaani Salah ni habari nyingine.
Kwanza ni rarely kusikia ameumia.
Huyu Salah tokea 2019 Watu wanapigania auzwe.
Kuna kipindi walisema eti Xhaqiri na Origi ni mbadala wa Salah hivyo auzwe wabaki wao.
 
Mimi kama rival fan nilikuwa nasubiri kwa hamu Sana hii move ,bahati Liverpool waliizuia kwa nguvu zote

Bila Salah sijui mngekuwa wapi muda huu ,

Ni Jeshi la mtu mmoja
Msimu ujao nahisi atauzwa, Matajiri wa Kiarabu wanajua fika Salah ni Kipenzi cha Waarabu kwasababu ni mwenzao hivyo watamnunua kwa ajili ya Brand yake na kibiashara, wanaweza kutoa hata £200M halafu sisi tubaki na Nyunyezi matattoo.
 
Back
Top Bottom