Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Shida ni nyie kuanza kucomparw vitu ambavyo havipo sawa[emoji23]
Eti kisa Salah,Torres sijui walishine
Basi naye Nuniez mnamuweka kundi hilohilo.
Ni mchezaji wa kawaida bwana,msituaminishe kwa maneno.
Si tunataka alengeshe magoli.
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Wewe mtumishi kwa maneno hujambo hujambo nishajua una ishu na tatoo za dogo...

YNWA
 
Sana aisee. Ndio mapambano yashaanza ya kizazi kipya ni Mbappe, Vincious, Halaand, Bellingham. Ngoja tuone nani anaridhi mikoba ya pound for pound player... Ronaldo na Messi wamewaburuza wengine kwa muda tu...

YNWA
Huyo Haaland mtoe hapo,,Jini Bila KDB ni baleke aliyechangamkaπŸ˜‚
Utadhani maforward wa Ihefu FC.

Mbappe ni jeshi la mtu mmojaπŸ”₯
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Kwa hio mpaka kiwango chake anakoelekea sio zaidi ya paleπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ acha maneno Miss Liverpool..

He will surprise you...

YNWA
Kiwango chake kimekua ni kweli
ila msianze kumgroup kundi la kina Salah, Torres
Hana huo mpira wa viwango vya hao majamaa.
 
Amen. Tunashukuru sana aisee umeona Robertson aliumia akiwa na Scotland na amesharejea Anfield kwa uchunguzi zaidi tetesi ni kwamba anaweza kua nje kwa zaidi ya wiki 8 hio sio powa kabisa kwetu.

YNWA
Angejua asingeenda..
Ama angeenda acheze kawaida.


Mwenzao Samatta akirudi Taifa stars anacheza kama mtoto wa kindergarten πŸ˜‚ kukwepa injuries zisizo za msingi,watu wanamlaumu ila jamaa wala hajali,, analinda ugali wake.
 
Angejua asingeenda..
Ama angeenda acheze kawaida.


Mwenzao Samatta akirudi Taifa stars anacheza kama mtoto wa kindergarten πŸ˜‚ kukwepa injuries zisizo za msingi,watu wanamlaumu ila jamaa wala hajali,, analinda ugali wake.
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Hilo la Samata kweli ama ndio uwezo wake unaishia pale

YNWA
 
Kiwango chake kimekua ni kweli
ila msianze kumgroup kundi la kina Salah, Torres
Hana huo mpira wa viwango vya hao majamaa.
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Aisee bado upo na mwamba wa La Celeste haha wewe kweli huna jambo dogo.

YNWA
 
Mungu atuepushe na majeraha kwa wachezaji wetu... Kipara kumng'oa pale tunahitaji kikosi kamili na hizi mechi za kimataifa zilivyokua nyingi sasa kuna balaa kwa wachezaji...

Maneno yako na yatimie.

YNWA
All day long nitakuwa nawaombea muwe mabingwa msimu huu ikitokea city akaflop ila sio kwa wale jamaa wa overload n pressing.
Kwa sasa wamegeuka wajuaji wao hata mambo yasiyo ya maana.
By the way hao gunners ndio wale wa 2003/04 au ni upepo tu utapita watarudi kwenye default setting yao?
 
Wakuu KOPITES wale gunners mnawaongeleaje kwenye matarajio yenu ya kuelekea ubingwa msimu huu maana akili yenu iko kwa kipara tu ambaye binafsi naona kama brain yake (kdb) inasuasua na majeraha kwa sasa?
Je,kwa maoni yenu kiwango cha city iliyocheza na arsenal bila uwepo wa KDB,Rodri na Bernado asiye fit inatosha kuwa credit kuwa wameiva kunyanyua kwapa mwezi May?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…