Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu.. Sisi tunakwenda kimya kimya..

We tulia angalia game.. Na sasa hivi VAR wako makini sana na Liverpool..
Maana hatutaki tena uonevu..
Ushindani utakuwa mkali sana.. Na tunamwangalia sana kipara twende nae sambamba mpaka January..

Baada ya hapo ndipo tunaweza kujua mwelekeo wa ubingwa
 
Hao washika manati wa london haujasema wana nafasi gani hadi kufikia May?
 
Hao washika manati wa london haujasema wana nafasi gani hadi kufikia May?
Hao washika manati waache tuu..
Hatuwezi kusema lolote.. hao ni kuwaangalia tuu
Mtu wa kuchunga ni kipara...

Kipara ana uwezo wa kwenda game 10 na zote ni WWWW......

Hiyo ndio shida... Gunners tuwaangalie tuu na hatuwezi kujua nn kitatokea ...
Maana ikitokea red card kwa mchezaji muhimu au injury kwa beki kama Saliba... Au mchezaji muhimu kwenye mid... Kisha wakaendeleza ushindi hapo sasa focus itakuwa kubwa sana kwao
 

Binafsi Arsenal wapo kwenye mbio za ubingwa, bado ninawapa nafasi kuwa miongoni mwa wawania ubingwa mpaka sasa.

Kutokuwa ubingwa kuna factor zake hapo kadhaa sawa na kuwa bingwa na kuwepo kwenye mbio za kuwania ubingwa ni kitu kingine.

Liverpool
Arsenal
Man city

Title contenders

Spurs, Newcatle hawa nawapa top four, Brigton Westham $ Villa hawa nafasi za Europa watazigombania.

Japo Utd na Chelsea wameanza slow ila siwatoi moja kwa moja kwenye mbio za kuwania EUROPEAN SPOT.

Mtazamo wangu utabadilika kutokana na consistency ya timu tajwa hapo juu. Maana ligi its a matter of consistency.
 
Amen. Tunashukuru sana aisee umeona Robertson aliumia akiwa na Scotland na amesharejea Anfield kwa uchunguzi zaidi tetesi ni kwamba anaweza kua nje kwa zaidi ya wiki 8 hio sio powa kabisa kwetu.

YNWA

Huenda Tukampata Tsimikas new dimension kwenye back four yetu. Uue bila long injury ya Clyne huenda leo tusingekuwa na TAA huyu.

Mambo mengine hutokea kwa faida japo sio mara zote.

Karius Blunder vs Madrid and in the league brought Alisson.
Kuna mengine huja kwa faida.
 
Kuna system Klopp anayotaka kuileta enhe.! Hii ni very risk sana. Ukitazama goli la kwanza tulivyofungwa utakuwa umeona hicho ki system cha ku build up kuanzia nyuma. Beckor anasogea juu zaidi kisha CB’s wanatanua as FB’s MF mmoja especially 6 anacheza kama CB kupokea mpira kwa Beckor kisha kusambaza kwa CB’s. As build up on process tunazidi kusogea juu zaidi kwa pattern ile ile wakati huo na Beckor naye anasogea juu zaidi.

Sasa risk inakuja ukicheza na pressing team kama Brighton utaadhibika, Arsenal na City unachapika kiwepesi tu.

Ila ni nzuri ikiwa utapata wachezaji wenye uwezo wa kukaa na mali mguuni kwa sekunde kadhaa bila kupoteza na pasi zenye macho angavu zaidi sana wawe viungo. Wakati huo una DM mwenye sifa za kuwa DM and not forcible one.

Sasa hapo ndipo Gini/Fabinho na Bobby walifanya Klopp awe na mpira wa adhabu kwa wapinzani. Klopp still dreaming of this era lakini bado akumbuke hana Bobby na prime Faby and Gini.

Macca is pure no. 8 or 10 not an anchor as Fabinho deep laying playmaker ambaye anapaswa acheze na natural no. 6 ndipo ubora wake utauona.

If i were Klopp , Endo and Macca would be my double pivot . Macca ana errors kwa kulazimishwa kucheza nafasi na role ambayo hana uwezo nayo. Lets go for Andre on January and we will bes safe.
 
Ni kweli some disappointment in life turns to be a blessing...
Let's hope Tsimikas can raise to the occasion na atu surprise...
His left shot can be dangerous my main worry hana speed kabisa vs one on one ndio panatatizo...

Na bila Lovren kua toasted mara kwa mara pengine asingetua VVD pale.

YNWA
 

Sure.

Hizi injuries na red cards huwa ni alert kuna mahali bwana Jurgen unapotea ikitokea ya long term utaathirika sana.

Ishu ya 1v1 huwa inamsumbua sana. Ila tukubaliane kwenye udhaifu kuna uimara, kama alivyo TAA kwenye kuzuia mbovu ila offensively ni hatari hilo sasa sio suala la TAA ni la Klopp ajue anamtumiaje kwa manufaa ya offensively zaidi ya defensively.

Ama kumpeleke MF (RCM) or CAM au amatumia inverted kama afanyavyo sasa lkn system unai twist kiasi ikiwemo kupunguza Highline na kumtafuta DM katili mmoja kuziba nafasi yake pale tunapopokonywa mpira kwenye process ya kushambulia.

Tuna weakness kwenye kuzuia as a team and individual hasa tukicheza bila attention (red card). Tunaacha spaces nyingi mno ambapo ukikutana na wajanja wanakujanjarusha.

Tafuta LCB ili ucheze na full CB’s kwenye build up,

Mnufaika wa kwanza kwa uwepo wa Tsimikas ni Darwin. Tsimikas has quality crosses.
 
na ndio majeruhi alye nae tuu huku sisi team nyingine ni hovyo namunea huruma olachuga majeruhi 14 haahaa pale ni mbao fc
 
Boy can cross like no one when afforded the chance... Actually mnufaika mkuu ni Jota maana huyu dogo na urefu wake vs his headed goals is way above his pay grade...

Umemention TAA defending imenifikilisha sasa tutakua na Tsimikas na TAA ambao wote defense wise wana weakness.. Hapo Jurgen ana mtihani sana kwa kua hata Macalister defence job amekua exposed mara kadhaa.. Sina uhakika with progress ya Bajectic kua kwenye mix ya 1st 11 soon otherwise Klopp has to put Endo to shield the backline... Klopp mpaka sasa hajaelewa namna bora ya kutumia MF waliopo maana naona kila game lazima Domy na Maca waanze n so far inaonyesha 1st half we are being caught off guard... High time Klopp aanze na Endo Grave Domy n we see how that comes in terms kutuletea calmness when under presha....

YNWA
 
Huyo Haaland mtoe hapo,,Jini Bila KDB ni baleke aliyechangamka😂
Utadhani maforward wa Ihefu FC.

Mbappe ni jeshi la mtu mmoja🔥
😂 😂 😂 😂 😂 😂 Bellingham taking them all single-handedly i must admit huyu dogo amenitoa noka out maana i used to see him as UK media puppet ila kumbe sio he is worth every piece of article that was written n now he is proving to be the next gene pound for pound tena akiwa MF... Muda sana haya mambo hatujaona hivi...

YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…