Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
It's more scary kushinda mpaka tukaongoza ligi kwa masaa aafu really scary tukiwa tunacheza kama hatupo hatupo ujue... Imagine tupo this rough patches lakini bado tumepigwa mechi 1 tu tena kwa makosa takatifu ya VAR ujue nwa tupo tupo hivi hivi mpaka January tuingie sokoni kupata DM kwa kua mipango ya Klopp haikua na kununua DM sema saparizi ya Fabinho kushawishwa na mkwaja huko Uarabuni hapakua na namna.Mkuu mmeshinda ila sijaona tofauti yenu na United yetu kwa msimu huu.
You are no longer scary like before.
United kwa sasa saizi yake Burnley hukooo
YNWA