Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu mmeshinda ila sijaona tofauti yenu na United yetu kwa msimu huu.
You are no longer scary like before.
It's more scary kushinda mpaka tukaongoza ligi kwa masaa aafu really scary tukiwa tunacheza kama hatupo hatupo ujue... Imagine tupo this rough patches lakini bado tumepigwa mechi 1 tu tena kwa makosa takatifu ya VAR ujue nwa tupo tupo hivi hivi mpaka January tuingie sokoni kupata DM kwa kua mipango ya Klopp haikua na kununua DM sema saparizi ya Fabinho kushawishwa na mkwaja huko Uarabuni hapakua na namna.

United kwa sasa saizi yake Burnley hukooo

YNWA
 
Screenshot_20231021_182550.jpg


Liverpool City is Red

YNWA
 
Katika vitu namheshimu klop ni namna anavyojua kuchagua aina ya wachezaji anaowataka na wanaoendana na falsafa ya team yake.
He knows how nourish a dark-dirted gold into a shining gold.

Huyu mpuuzi huwa naombea asipate tajiri kichaa ambaye hawazii fedha,atasumbua mno
 
Boy can cross like no one when afforded the chance... Actually mnufaika mkuu ni Jota maana huyu dogo na urefu wake vs his headed goals is way above his pay grade...

Umemention TAA defending imenifikilisha sasa tutakua na Tsimikas na TAA ambao wote defense wise wana weakness.. Hapo Jurgen ana mtihani sana kwa kua hata Macalister defence job amekua exposed mara kadhaa.. Sina uhakika with progress ya Bajectic kua kwenye mix ya 1st 11 soon otherwise Klopp has to put Endo to shield the backline... Klopp mpaka sasa hajaelewa namna bora ya kutumia MF waliopo maana naona kila game lazima Domy na Maca waanze n so far inaonyesha 1st half we are being caught off guard... High time Klopp aanze na Endo Grave Domy n we see how that comes in terms kutuletea calmness when under presha....

YNWA

Ujue muda mwingine nawaza hata system yetu ya uzuiaji ni mbovu kwa kweli, sasa ukija kuweka na individual weaknesses ndio kabisa tunazidi kuwa wazi.

Bado Klopp hajajipata kusema ukweli bahati nzuri tunashinda pamoja na kuchechemea kwetu.
 
Mkuu mmeshinda ila sijaona tofauti yenu na United yetu kwa msimu huu.
You are no longer scary like before.

Of course yes una hoja mkuu, lakini huo ukali unategemea na factors kadhaa.

Moja tuna new MF’s ambao bado haijakaa sawa bado. Na Klopp bado anajitafuta kufanya mambo mapya kuendana na hali ya kikosi na timu nyingine. Build up yake naona anamuhusisha sana Beckor tena nje ya box not like before: CB’s na GK kwanza Na DMF hapo FB’s wanasogea mbele kidgo wale 8’s wanaingia ndani kidgo usawa wa CB’s ila kwa mbele. Hii system naona inatutesa sana.

Na bad enough we have no Natural DMF, as know DM kwa sasa ni adimu sana kuwapata very few kama ilivyo kwa CF’s.

Kama mechi ya jana ndio unaitathmini na kutulinganisha na utd upo sawa lkn tuangalie nyuma yake kuna nini?
Unacheza na timu ilikuja kukaa tu nyuma na kucheza kwa counters halfu timu hiyo ipungukiwe mchezaji mmoja kwa sababu ya kadi nyekundu, unatarajia nini? Ipo hivyo ili maji yatembee lazima mkondo uwe na huo uwezo unatembea.

Timu imekaa nyuma huwezi cheza mchezo mzuri. Rejea mechi za Nyuma huko B’Mouth, Newcastle tukiwa pungufu na mpira ukapigwa wa kutosha.

Na hatutishi kwani Klopp kaamua kubadilika kutokana new MFs alizonazo. Gari litawaka kwa kutoa performance ya maana huko mbele. Kwa sasa tuchukue points tatu kwanza

YNWA
 
It's more scary kushinda mpaka tukaongoza ligi kwa masaa aafu really scary tukiwa tunacheza kama hatupo hatupo ujue... Imagine tupo this rough patches lakini bado tumepigwa mechi 1 tu tena kwa makosa takatifu ya VAR ujue nwa tupo tupo hivi hivi mpaka January tuingie sokoni kupata DM kwa kua mipango ya Klopp haikua na kununua DM sema saparizi ya Fabinho kushawishwa na mkwaja huko Uarabuni hapakua na namna.

United kwa sasa saizi yake Burnley hukooo

YNWA

Inaogopesha kweli kweli. Klopp ana struggle kwa kuondoka Fabinho. Nafikiri setups zake na strategies zake zilimuweka Fabinho as his man in the middle of the park.
 
Back
Top Bottom