Its BOURNEMOUTH kwenye quoter finals za capital one...
SG akikaa benchi acheze Lukas Liverpool itashuka daraja!Acheni kumu under rate SG bila yy hii Liverpool itayumba mno!
Carling Cup sio sawa na EPL na naelewa mnapo kwazika sababu ya role yake SG inakandamizwa na uamuzi wa kocha wetu!SG awe free role mbele kama kipindi cha pili na Hull anafanya sana bado mambo!
Kumuweka benchi SG Liverpool hii hainiingii akilini!
SG akipewa free role na Coutinho atacheza role gani?
Na hapo ndipo huwa nampendea BR, huyu dogo sijui kamlisha nini Rodger msimu huu kawa na performance mbovu sana ila cha ajabu hata sub huwa hafanyiwi akianza lazima amalize. Kwenye game ambazo unaona kabisa PC ndio anaibeba timu unakuta anafanyiwa sub af dogo anaachwa. Nahisi BR (Na makocha wengi wa EPL) atakuwa anapata presha toka FA kuchezesha wachezaji wa England.BUT sioni BR akimprefer PC over RS..lazima Atamuanzisha RS tu...
Ni kweli ila vijana wa sasa wanatakiwa wajifunze kupitia historia yake ila sio kwa kiwango chake cha sasa. Hizi habari za flani kuwa ni next SG tuwape wachezaji raia wa Uingereza, ila hawa toka nchi nyingine usitegemee kukaa kwenye timu kwa muda mrefu, na hasa kwa timu kama zetu ambazo hazilipi vizuri wachezaji wake.Coutihno ana mambo mengi sana ya kujifunza kutoka kwa veteran SG and off course YES Coutihno will be our next SG for decade!!
Draw ya leo ya Capital one kwenye quoter finals naona kabisa tutapangwa na Chelsea..(away OR home)..
Lets wait and See!!!
Ni kweli ila vijana wa sasa wanatakiwa wajifunze kupitia historia yake ila sio kwa kiwango chake cha sasa. Hizi habari za flani kuwa ni next SG tuwape wachezaji raia wa Uingereza, ila hawa toka nchi nyingine usitegemee kukaa kwenye timu kwa muda mrefu, na hasa kwa timu kama zetu ambazo hazilipi vizuri wachezaji wake.
Its BOURNEMOUTH kwenye quoter finals za capital one...