Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

SG akikaa benchi acheze Lukas Liverpool itashuka daraja!Acheni kumu under rate SG bila yy hii Liverpool itayumba mno!

Carling Cup sio sawa na EPL na naelewa mnapo kwazika sababu ya role yake SG inakandamizwa na uamuzi wa kocha wetu!SG awe free role mbele kama kipindi cha pili na Hull anafanya sana bado mambo!

Kumuweka benchi SG Liverpool hii hainiingii akilini!

SG akipewa free role na Coutinho atacheza role gani?
 
SG akipewa free role na Coutinho atacheza role gani?

Coutihno ana mambo mengi sana ya kujifunza kutoka kwa veteran SG and off course YES Coutihno will be our next SG for decade!!
 
BUT sioni BR akimprefer PC over RS..lazima Atamuanzisha RS tu...
Na hapo ndipo huwa nampendea BR, huyu dogo sijui kamlisha nini Rodger msimu huu kawa na performance mbovu sana ila cha ajabu hata sub huwa hafanyiwi akianza lazima amalize. Kwenye game ambazo unaona kabisa PC ndio anaibeba timu unakuta anafanyiwa sub af dogo anaachwa. Nahisi BR (Na makocha wengi wa EPL) atakuwa anapata presha toka FA kuchezesha wachezaji wa England.

Yeye aendelee kumuweka tu benchi PC bila sababu za msingi, wakati kuna timu kubwa zinamuhitaji. Na hawa wachezaji wa South America wakiamua kuondoka huwa wanaondoka tu na vigumu sana kuwabakiza, na hasa wakiwa wanatakwa na Madrid au Barca.
 
Coutihno ana mambo mengi sana ya kujifunza kutoka kwa veteran SG and off course YES Coutihno will be our next SG for decade!!
Ni kweli ila vijana wa sasa wanatakiwa wajifunze kupitia historia yake ila sio kwa kiwango chake cha sasa. Hizi habari za flani kuwa ni next SG tuwape wachezaji raia wa Uingereza, ila hawa toka nchi nyingine usitegemee kukaa kwenye timu kwa muda mrefu, na hasa kwa timu kama zetu ambazo hazilipi vizuri wachezaji wake.
 
Ni kweli ila vijana wa sasa wanatakiwa wajifunze kupitia historia yake ila sio kwa kiwango chake cha sasa. Hizi habari za flani kuwa ni next SG tuwape wachezaji raia wa Uingereza, ila hawa toka nchi nyingine usitegemee kukaa kwenye timu kwa muda mrefu, na hasa kwa timu kama zetu ambazo hazilipi vizuri wachezaji wake.

PC bado kidogo kuiva kikamilifu!Huyu atatubeba sana kuanzia mwakani!Kwa sasa tumuache aendelee kuchota techns toka kwa mkongwe

Mbinu zake ziki fail kuwa PC ana panic sana!Akihitimu kama yule SG na miaka yake 24 anatupa CL Uturuki ndipo tutamuomba mkongwe aingie kamati ya ufundi!
 
Its BOURNEMOUTH kwenye quoter finals za capital one...

Daah bora tumepangwa na hawa madogo, ni wakati wa BR kuhakikisha tunafika final na kuchukua kabisa.

Ila hawa Newcastle wananipa wasiwasi sana maana wanavyocheza sasa hivi itabidi tujiandae kweli ili tupate ushinde ambao utakuweka sehemu nzuri ukizingatia tumepoteza points kama 6 hivi kizembe

Ukiangalia tumebakia na mechi na Chelsea, Man utd na Arsenal zote hizo tukipata point 7 itakuwa vizuri
 
Class by MB
 

Attachments

  • 1414689569259.jpg
    1414689569259.jpg
    79.2 KB · Views: 66
Hahaha!!!

LOVREN AND KOLO..
 

Attachments

  • 1414689650271.jpg
    1414689650271.jpg
    41.6 KB · Views: 56
  • 1414689680073.jpg
    1414689680073.jpg
    45.5 KB · Views: 58
  • 1414689714673.jpg
    1414689714673.jpg
    44.2 KB · Views: 59
  • 1414689746224.jpg
    1414689746224.jpg
    43.6 KB · Views: 59
Neymar & Coutinho Enzi Hizoooo!!!
 

Attachments

  • 1414689864179.jpg
    1414689864179.jpg
    34.2 KB · Views: 978
Hahahaha!!!!

*Hodgson Era*
 

Attachments

  • 1414689960743.jpg
    1414689960743.jpg
    11.1 KB · Views: 50
  • 1414689990025.jpg
    1414689990025.jpg
    65.3 KB · Views: 50
  • 1414690019063.jpg
    1414690019063.jpg
    10.7 KB · Views: 93
  • 1414690043814.jpg
    1414690043814.jpg
    31.2 KB · Views: 50
Defensive Errors tangu 2012....

We're shit kwenye defence!!
 

Attachments

  • 1414690139816.jpg
    1414690139816.jpg
    21.3 KB · Views: 46
Some class wallpapers
 

Attachments

  • 1414690332053.jpg
    1414690332053.jpg
    110.8 KB · Views: 49
  • 1414690371826.jpg
    1414690371826.jpg
    71.9 KB · Views: 49
  • 1414690408650.jpg
    1414690408650.jpg
    76.7 KB · Views: 49
  • 1414690433450.jpg
    1414690433450.jpg
    40.8 KB · Views: 44
  • 1414690470048.jpg
    1414690470048.jpg
    59.9 KB · Views: 46
  • 1414690494515.jpg
    1414690494515.jpg
    104.9 KB · Views: 47
  • 1414690528517.jpg
    1414690528517.jpg
    112.3 KB · Views: 41
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahhahahahahahahahahahahahahahaha
 

Attachments

  • 1414691039232.jpg
    1414691039232.jpg
    54.3 KB · Views: 53
BR wasting his time here.. #LOL
 

Attachments

  • 1414691528286.jpg
    1414691528286.jpg
    34.3 KB · Views: 55
Back
Top Bottom