Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tetesi za awali mamake Luis Manuel Diaz amepatikana na babake Cilenis Marulanda bado wanamsaka.. Walitekwa wakiwa sheli na wahuni wenye silaha kali wakiwa na ma piki piki na magari eneo la La Guajira.

Mungu afanye wepesi wawe salama salmini.

YNWA
 
Babaake kapatikana ila bado mamaake .... Aljazeera
 
Tetesi za awali mamake Luis Manuel Diaz amepatikana na babake Cilenis Marulanda bado wanamsaka.. Walitekwa wakiwa sheli na wahuni wenye silaha kali wakiwa na ma piki piki na magari eneo la La Guajira.

Mungu afanye wepesi wawe salama salmini.

YNWA
Kwa tulioishi Colombia ,Mexico ,new Jersey ,Texas na, New Mexico kule kutekwa nje nje

Nimeona taarifa Baba yake kapatikana
 
Yesu wangu🥺😳
Jamani mijambazi mijitu mibaya

Unamtekaje mtu?

Watekaji wauawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…