Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

He's supposed to be much better than that.
A chance is there and we want him to deliver more than that.
He's good though...ila kama akifanikiwa kuwa vile mimi natamani nimuone basi hizo records mnazoweka ni ndogo sana.
 
Bwana bwana wee
Let us agree to disagree


Aluta continua,,dislike ziendelee[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]
Hadi atakapojua kufunga vizuri.
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ He doesn't score tap ins huyu hua zile goli exceptional

Mashabiki wanavyopenda wanampa shangwe hata akiwa benchi yaaani ni full ma singo yake...

Wewe kaa na, ma HB wako hukoo mkitegemea dogo avuruge uingie humu mazima.. Well kaa kwa kutulia

YNWA
 
Sisi tunamuombea mema
Ila hatishi kama mnavyotaka kutuaminisha🀣

Exceptional goals?lol🀣

Can u please give us the difference btn an exceptional goal and normal oneπŸ˜‚
 
Kuna watu humu walikuwa wanamtukana Fabinho eti ni Mzito lakini Alisa prove wrong na alikuwa ni Mkata Umeme tegemeo πŸ˜„
I tell you man. Fabinho was dissed balaa lakini he took time bila kua na like for like na we got to fainali 2 Uefa, EPL 1 losing 2 by a whisker, Carabao na FA n CS, Super Cup n Club world cup.. Bila Fabinho tusingepata hata robo ya hayo mafanikio... Ndio Klopp alivurugwa dogo kusepa..

Nunez is heading there.

YNWA
 
Acheni kumlinganisha Fabinho na vitu vya ajabu🀣
Nani huyo mwenye kengeza la mpira alikuwa anamtukana Fabinho?πŸ˜†
Fabinho havumi lakini yupo,,yaani Silent Killer ...na Ile style yake ya kushangilia akiscore.


Kiufupi roho inaniuma sana Fabinho kuondoka mapema hivi
 
Watch marudio Liverpool vs Newcastle jibu utapata.

YNWA
Nimerudi kuangalia.

Bao zote mbili alifunga kwa style moja

Hata asingescore yeye,salah alikuwa ameshafika tayari kwa kumalizia.

Well ,aliperform vizuri ila haya ndo magoli exceptional?🀣
 

Attachments

  • Screenshot_20231104-192631.jpg
    81.8 KB · Views: 3
  • Screenshot_20231104-192631.jpg
    81.8 KB · Views: 3
Nimerudi kuangalia.

Bao zote mbili alifunga kwa style moja

Hata asingescore yeye,salah alikuwa ameshafika tayari kwa kumalizia.

Well ,aliperform vizuri ila haya ndo magoli exceptional?🀣
Kwa hio akifunga Salah tunapata pointi 4 ila akifunga Captain Chaos tunapata pointi 3....kwamba wale mashabiki wote wanaokomaa na dogo hata akiwa benchi songi lake linapanda na vipofu au namna gani...

Haya kaangalie goli la Liverpool vs Bournemouth Carabao majuzi tu hapo uone real definition ya point man πŸ‘¨ πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯


YNWA
 
Kwahiyo Bobby umesimamia ukucha mechi moja tu kisa aliscore pekeyake goal zoteπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
In Nunez I Trust Hahaha wewe tulia na Matip wako oooh Domy haha unataka hao softi softi doing things easy way wakati dogo Nunez yeye does things th mannish wayπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ‘¨πŸ‘¨πŸ˜‚

YNWA
 
Acha kusoma na papara... Soma vyema comment.. Ipo hivi Fabinho alivyo join Liverpool alionekana flop hata Klopp hakumpa direct starting berth gradually alikua introduced kwa timu mpaka pale Klopp was double sure Fabinho was ready to conquer n th rest is history.. Same route ya Fabinho ndio hio hio ya Captain Chaos.. New League, new food, new language, new team mate, new formation but now hata ana salimia kwa kingereza wakati mwanzoni ilikua Allison, Fabinho au Thiago ndio wamsaidie dogo... Wewe ishi kwa kopi tu dogo taa ishawaka...

YNWA
 
He's supposed to be much better than that.
A chance is there and we want him to deliver more than that.
He's good though...ila kama akifanikiwa kuwa vile mimi natamani nimuone basi hizo records mnazoweka ni ndogo sana.
Hivi ulikuwepo Liverpool enzi za akina Benteke, Lambert, Baloteli, Aspas, Andy Carrol, Downing, Reira nk nk kama ulikuwepo enzi hizo utajua utofauti sana wa Nunez na hao hapo.. Klopp yupo relaxed anajua talent ipo mdogo mdogo he will come around

YNWA
 
ongezea na hawa: Fabio Borini,Andriy voronin,David Ngong, Sinama Pongolle na Antonio Nunez.
 
You are trying to compare Nunez with other playersπŸ˜‚.Nunez is nunez and not someone else lolπŸ˜‚

Each one has his own uniqueness
The eras are also not the same..at the moment it is time for new professional football🀭
Don't measure the quality of Nunez by the weakness of past players years agoπŸ˜›πŸ˜
 
Hivi huyu wajina wa kaka yetu Boss Maxence Melo
Alicheza mechi ipi na ipi!?
Mi nimesahau hata sura yake inafananiaje[emoji23]
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Hakuwai kucheza EPL i guess alicheza Champions League ugenini Napoli dakika 13 tu na baada ya hapo alikua benchi mechi 5 hivi 2023 bila kupewa dakika msimu ulivyoisha akasepa zake kwa sasa yupo kwa mkopo Fiortena Italia.

YNWA
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Let's the numbers do the talking... Haya maneno maneno utaishia kuyakana that i can foresee hivyo wewe ishi kwa kum diss dogo kama vipi mpigie babu Kyela afanye jambo kama la Henderson uone babu atakavyotoka duki kukujuza hii ngumu sana kutoka ndio kwanza kafika.

YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…