Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Saint Anne new ID unahangaika kweli. ππππongezea na hawa: Fabio Borini,Andriy voronin,David Ngong, Sinama Pongolle na Antonio Nunez.
π π π Hahaha hayaaa...Yaani mie kucheza kutokea mbele
Sijui nyuma
Hata sielewi chochote[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nachojua mimi mpira ufike golini tufunge.
I want you to show us uniqueness of those goals as compared to other goalsππKwa hio akifunga Salah tunapata pointi 4 ila akifunga Captain Chaos tunapata pointi 3....kwamba wale mashabiki wote wanaokomaa na dogo hata akiwa benchi songi lake linapanda na vipofu au namna gani...
Haya kaangalie goli la Liverpool vs Bournemouth Carabao majuzi tu hapo uone real definition ya point man π¨ π₯π₯π₯
YNWA
LolIn Nunez I Trust Hahaha wewe tulia na Matip wako oooh Domy haha unataka hao softi softi doing things easy way wakati dogo Nunez yeye does things th mannish wayπ π π π¨π¨π
YNWA
Walichelewa tu kumuaminiAcha kusoma na papara... Soma vyema comment.. Ipo hivi Fabinho alivyo join Liverpool alionekana flop hata Klopp hakumpa direct starting berth gradually alikua introduced kwa timu mpaka pale Klopp was double sure Fabinho was ready to conquer n th rest is history.. Same route ya Fabinho ndio hio hio ya Captain Chaos.. New League, new food, new language, new team mate, new formation but now hata ana salimia kwa kingereza wakati mwanzoni ilikua Allison, Fabinho au Thiago ndio wamsaidie dogo... Wewe ishi kwa kopi tu dogo taa ishawaka...
YNWA
Jizasiπππππ
π€£π€£π€£π π π π Let's the numbers do the talking... Haya maneno maneno utaishia kuyakana that i can foresee hivyo wewe ishi kwa kum diss dogo kama vipi mpigie babu Kyela afanye jambo kama la Henderson uone babu atakavyotoka duki kukujuza hii ngumu sana kutoka ndio kwanza kafika.
YNWA
I want you to show us uniqueness of those goals as compared to other goalsππ
Umesema mwenyewe kwamba Nuniez anascore exceptional goals only
Case study ni Fabinho Liverpoolπ€£π€£π€£
I just wish good for him
But maybe my expectations for him is too high
Dogo alinunuliwa kwa mbwembwe mno
Kizungu usikisingizie bwanaAcha kusoma na papara... Soma vyema comment.. Ipo hivi Fabinho alivyo join Liverpool alionekana flop hata Klopp hakumpa direct starting berth gradually alikua introduced kwa timu mpaka pale Klopp was double sure Fabinho was ready to conquer n th rest is history.. Same route ya Fabinho ndio hio hio ya Captain Chaos.. New League, new food, new language, new team mate, new formation but now hata ana salimia kwa kingereza wakati mwanzoni ilikua Allison, Fabinho au Thiago ndio wamsaidie dogo... Wewe ishi kwa kopi tu dogo taa ishawaka...
YNWA
Hilo Lina tofauti gani na la Trent wayback 2019 , alilofungia akiwa kati?ππView attachment 2803956
Tazama na lingine kama huoni any exceptional goal hapo basi subiri anfunge Salah ππππππ
YNWA
Tulale lolπCase study ni Fabinho Liverpool
Case study Modric Real Madrid
Case study Robertson Liverpool
Case study Henry Arsenal..
Nk nk nk
Sio kila mchezaji hutoa performance uwanjani hapo kwa hapo kisa tu amenunuliwa bei ya juu ku pick to prove th price tag can take months wengine years..
Ukitaka kujua bei sio performance tazama Chelsea Moses Caicedo, Di Maria Manchester United, Melo Juventus nk nk...
Lakini tazama kwa mfano Coutinho bei yake hata haikufika pound 20m Liverpool tena alinunuliwa akiwa majeruhi lakini alivyopona alikiwasha balaa na mpaka pale kazi yake Barcelona wakaelewa kwamba kuna kipaji pale wakatoa ela kama zote tukaziyumia tukampata Alisson nk nk...
YNWA
Kaka mtuuuuπ₯
Naomba usiku na mchana Salah aendelee kubaki
Salah pengine ni mzuri ila bahati huwa haipo upande wake
The same to mane
Kwa kweli mimi nilikuwa nikiona Fabinho anaenda kupiga basi roho yangu inapata amani.
Salah pengine ni mzuri ila bahati huwa haipo upande wake
The same to mane
Kwa kweli mimi nilikuwa nikiona Fabinho anaenda kupiga basi roho yangu inapata amani.
Akijifunza kutuliza akili golini atakuwa mchezaji mzuri sana.
Luton tusiwachukulie poa.