Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Yaani hii timu Salah akija kuondoka nitalia sanaHe ain't happy kukosa point 3 muhimu kwa struggling team but its ain't the end of the world u know.. We have seen worse situations than this Miss Liverpool...
I stand with Nunez come rain come sunshine am there all day my buddy hivyo wewe sepa [emoji23][emoji23]hukooo kwa King Mo na ma HB wako...
YNWA
π π π π Adika kabisa insha ya miss za dogo Nunez haha mie na Klopp we say its all cool he will get there one day full consistency.Siyo jana tu!
Mechi nyingi tu Nunez anamiss magoli mengi tu
Hadi huwa nasema humu, kwamba tungekuwa tunashinda Kwa magoli mengi tu kama isingekuwa uzembe wa Nunez.
Kwahiyo tulimuweka acheze ili akasindikize?Mule ndani amepewa namba akafanye Nini?
Kazi yake mule ndani ni kufunganad not otherwise.
Yaani assist tumpe afu abutue na tumuache tu!,πππ
Aliodoka Mr Liverpool Bobby Firmino the engine na all time fit Mane na cool ruler Mr Bald Baddest Samba boy na bado tumooo unganisha hapo na ua favourite Captain Hendo ππΏββοΈπππ na bado tumoooo kwenye mix...Yaani hii timu Salah akija kuondoka nitalia sana
Yaaani hatushindi mnajificha nyuma ya Nunez eee kwani pale mbele anacheza mwenyewe mwenyewe πππMambo ya Captain Chaos hayooπππππ
Captain Marvelous njoo uchukue mdogo wako π
π π π π Alipewa ile sio pasi bhana ni ajali kazini ukatua kwa Nunez lakini Nunez being Nunez akafanya yake aaa hata Klopp pale hakuvumiliia maneno yalimtoka ndio nature ya kazi ile.. U miss some u score some, Nunez is super miss target guy but th good thing he ain't giving up he is there working really hard to perfect his trade well when that is achieved anajua mwenyewe na bidii zake.. Kote alikocheza haya yalimkuta lakini taa ilivyo waka haikuzima tena... Am banking on that same as Klopp...Mpira umetua mguuni
Yupo na kipa, hawezi funga
Tutaangaliaje kichwa Cha Salah walaki Bwana mdogo aliyepewa mpira mguuni yupo na kipa na anabutua tuπππππ
Angalau sasa umekiri udhaifu wakeπ π π π Alipewa ile sio pasi bhana ni ajali kazini ukatua kwa Nunez lakini Nunez being Nunez akafanya yake aaa hata Klopp pale hakuvumiliia maneno yalimtoka ndio nature ya kazi ile.. U miss some u score some, Nunez is super miss target guy but th good thing he ain't giving up he is there working really hard to perfect his trade well when that is achieved anajua mwenyewe na bidii zake.. Kote alikocheza haya yalimkuta lakini taa ilivyo waka haikuzima tena... Am banking on that same as Klopp...
YNWA
Akikosea lazima tumseme tuYaaani hatushindi mnajificha nyuma ya Nunez eee kwani pale mbele anacheza mwenyewe mwenyewe πππ
Uwe na utulivu dogo utapata presha ujue hii Liverpool haitaki hayo aisee i dissed Henderson since ananunuliwa na Sir Kenny Dalglish mwaka 2011 lakini hakuwai kunitoa povu kama hili lako kwa Nunez ππππnilijua ipo siku ataodoka tu 1 day well i waited almost mwaka 2014 i guess Rodgers almost alimuuza dili likaingia mitini hivi hivi so akabaki mpaka Stev G alivyosikia kilio chetu akaona atupe early Xmas present na kumtoa mapema Anfield... Sasa ningekua na presha kw kua Henderson anapangwa mbona hata timu ningehama alivyo cheza powa i supported him na alivyokua bum most of the times i cursed th day he joined Liverpool matukio ni mengi sana ila kwa lile ugenini Chelsea msimu ule wa 2021 2022 alituuza na Milner tukatoka sare n guess what Kipara akapata ubingwa kwa pointi 1..hivyo Miss Liverpool uwe na utulivu Nunez is here to stay ndio kwanza ana 24 umri πππpovu mpaka atue 30 haha utakonda sana dogo...
Chill huu mchezo hautaki hasira πππ
YNWA
Akikosa tena hatutaacha kumsemaππππ π π π Adika kabisa insha ya miss za dogo Nunez haha mie na Klopp we say its all cool he will get there one day full consistency.
He is the sure bet minus the costly misses...
YNWA
π π π Alway hua nawa sapoti wachezaji wetu wakifanya powa na wakiharibu nasema ila kuniambia Nunez ni flop hilo hapana aisee...Angalau sasa umekiri udhaifu wake
Kwahiyo dogo siyo mwamba ila anapambana awe mwamba.
Haya sasa Bobby, tuendelee kumsapoti awe mwamba kama Salah na akubali kujifunza kwa waliomtangulia.
Sijasema ni flopπ π π Alway hua nawa sapoti wachezaji wetu wakifanya powa na wakiharibu nasema ila kuniambia Nunez ni flop hilo hapana aisee...
Good enough ni jukwaa hili kila mmoja na maoni na mtazamo wake..
Nunez kwangu naona ni real talent kazi kwa Klopp na jopo lake ku unlock this beast ku shine day in week in week out isiwe one game yumo next game hayumo tunahitaji consistency tu kutoka kwake na uwezo anao nia anayo kuwazoma akina Miss Liverpool na sababu ipo so kazi kwako dogo.
YNWA
Ebu panga kikosi chako cha next game EPL nione.Akikosa tena hatutaacha kumsemaπππ
Na akizidi kukosa hasara ni kwake maana pale mbele ushindani ni mkubwa.
Gakpo, Jota, Diaz wote wapo... Achilia mbali Salah ambaye ana umiliki wa namba...
Kazi kwake.
Haogopi competition ndio maana hata awe benchi hua hanuni yupo tayari kwa ajili ya timu akihitajika ni kazi kazi...Sijasema ni flop
Nimesema awe makini maana namba pale mbele ina competition sana..akizidi kuzingua basi atakuwa anaanza benchi.
LolππππEbu panga kikosi chako cha next game EPL nione.
YNWA
Atanunaje sasa wakati anajijua ni mzee wa kubutua bila mpangilioπHaogopi competition ndio maana hata awe benchi hua hanuni yupo tayari kwa ajili ya timu akihitajika ni kazi kazi...
YNWA
Mshinde sasaMunajua tunamunywa spurs bao ngapi leo??
Akiondoka Salah tumekwishaAliodoka Mr Liverpool Bobby Firmino the engine na all time fit Mane na cool ruler Mr Bald Baddest Samba boy na bado tumooo unganisha hapo na ua favourite Captain Hendo ππΏββοΈπππ na bado tumoooo kwenye mix...
YNWA